Ali Kiba Fans' Special Thread...

hivi Matola mbona suala la tishirt unakwepa sn kulijibu?
 
Last edited by a moderator:
Silikwepi ila ni swala la kimkataba zaidi, tunaye Muuza Sura ni mtoto wa mjini nitashirikiana naye kumpata Kiba na nitahakikisha tunamleta hapa.

BTW sometime nabanwa na majukumu yangu binafsi.

ok tunasubiri mrejesho
 
Last edited by a moderator:
Silikwepi ila ni swala la kimkataba zaidi, tunaye Muuza Sura ni mtoto wa mjini nitashirikiana naye kumpata Kiba na nitahakikisha tunamleta hapa.

BTW sometime nabanwa na majukumu yangu binafsi.
Matola tutafurahi sana,na pia naomba muhakikishe The king anajua habari ya uzi huu please!!
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteee!nlipata wakati mgumu kutokuja hapa...ila nnafurahi mlikuwa mnawakilisha vema!

yeah familia hii ni imara sn na ushirikiano wa hali ya juu, so hakuna kinachoweza kuharibika, u wr greatly missed
 
Uzi unakimbia mpaka watu badala ya kufanya yao wanaujadil uzi huuhuhuhuu fanya yako yangu yaache(in layla rashid voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…