Haha hahaaaa,tena nasikia aliomba yeye (queen darling) ili Kiba amshike mkono mdogo wake ndomo!!!!
wewe jiulize fiesta waliperform wasanii wangapi?? mbona wao hawahangaiki na huo uking wa kiba jamani?! kama hawapi homa nn sasa kuranduka na kupagawa kiasi hiki???
Mi ndo usiseme wangu... Hahahahaaa
Ova
Masikini akipata makalio hulia mbwata(hili sio tusi ni msemo tu)
leo wamerandukaaa wanamtukana matusi yote wanasababisha hadi wasiopenda matusi waanze kuwatusi maana hata ngoma ikipigwa sn mwisho hupasuka, hebu mjitulize mfanye yenu mtuache na mwana wetu tusemezane nae na tuserebuke naye
Haha haaaaa haya bibie ushaiona tayari
yaani kwa mtindo huu mimi ndio nimezidi kumpenda Kiba jamani now nampendaaaaaaa mpaka naumwa jamani, yor my best,mkalist,mvocolist an mkubwest, huhuuuuuuu, rahaaa sana ukiwa na uelewa wa mambo
Asante wangu. Wanajazana ujinga tu, ndio maana hata uzi wao unakosa mvuto wa wageni kwani hakuna mtu anayeelewa muziki wao ni kejeli na matusi tu.
Ova
Kwakweli wana maneno ya shombo kukulia uswahili kume wa affect ujinga jinga ule hamna anayeweza kuwa support mitusi imewafanya waonekane hamnazo na hilo ndo tatizo linalo mucost hadi bosi wao kila sehemu lazima wamtaje Kiba na kashfa juu kwa Kiba watasubiri sana kwakweli na hizi haitaji boost za skendo
Msanii wao kagombana na producer karibu wote wa Bongo. Yaani ni familia ya washari shari tu.
Ova
Tatizo uswahili na ulimbukeni and lack of exposure inawasumbua sana kuanzia bosi wao mpaka fans
Kiukweli kabisa nauona mwisho wa huyo mtu wao. Wimbo wake wa mwisho umepwaya sana, pale nachukua video tu. Sasa video haiwezi kufanya muziki kuwa mkali. Kila producer haelewani naye atarekodi na nani?
Kaenda kurekodi Nigeria, producer kamfanya afunikwe na Iyanya, alichoimba yeye hakisikiki vizuri lakini Iyanya anasikika. Chameleon asham-block kwenye Instagram, twitter na Facebook kwa umbea wake.
Ova
Wewe muache tu,naijua dawa yake....haha haaaa
Mlikuwa wapiiii?Honey faith,brenda 18,Mdakuzi,Nifah,mmetuachia jaka lakini jeshi la Kiba matata sana,mtu mmoja kwa ndondocha mia!!Ilikua raha sana kubishana na wehu!!