Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Haha hahaaaa,tena nasikia aliomba yeye (queen darling) ili Kiba amshike mkono mdogo wake ndomo!!!!
Masikini akipata makalio hulia mbwata(hili sio tusi ni msemo tu)
leo wamerandukaaa wanamtukana matusi yote wanasababisha hadi wasiopenda matusi waanze kuwatusi maana hata ngoma ikipigwa sn mwisho hupasuka, hebu mjitulize mfanye yenu mtuache na mwana wetu tusemezane nae na tuserebuke naye