Mama Kiba anavuta hisia za watu!!Ni kama wameipata kwa ajili yake!!Kiba hatari kwa afya ya mioyo ya watu aisee!!Kiba ni mnoma!!
Unataka shikamoo ndo ujue anaheshimika!!tofautishha heshima na appreciation!!Unalazimisha acknowledgement!!?Mi hapo shkamoo mama wa kulia hapo!
Nilikuelewa dear,basi tu napenda kuongea na wewe Le super fan,Mbebez wa ukweliii!!u knw am humbled to know u!!Yani ndo nini nawe kutumia ID ngumu kama nini...wajitia uzungu...hahahaaa
Hadi kuku mention naogopa...
I love you too Ms.Lincoln,unajua sana basi tu kujitoa fahamu
Nilikuelewa dear,basi tu napenda kuongea na wewe Le super fan,Mbebez wa ukweliii!!u knw am humbled to know u!!
Unataka shikamoo ndo ujue anaheshimika!!tofautishha heshima na appreciation!!Unalazimisha acknowledgement!!?Mi hapo shkamoo mama wa kulia hapo!
Yani ndo nini nawe kutumia ID ngumu kama nini...wajitia uzungu...hahahaaa
Hadi kuku mention naogopa...
I love you too Ms.Lincoln,unajua sana basi tu kujitoa fahamu
Nilikuelewa dear,basi tu napenda kuongea na wewe Le super fan,Mbebez wa ukweliii!!u knw am humbled to know u!!
hapo cjaguna jamani nimeitikia, hahaaaaaa
hahaaaaa!!! yaani mpaka kuweza kummention nilipata shida sana
Sasa wivu ni kutompongeza dai?kafanya nini kwani mi sielewi!?Kiba jana ilikua birthday yake,ulimpongeza!?Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?!Hatuna chuki na mtu we r just bussy doing our things!!Mi siko hivyo ndugu yangu naheshimu mtu yoyote anae onyesha juhudi kuyasaka maendeleo ili mradi tu iwe ni kwa njia halali istoshe sisi ni vijana chuki hazijengi....nita mpongeza hata kiba siku akifikia level kama hizi...sina moyo wa wivu.
Sasa wivu ni kutompongeza dai?kafanya nini kwani mi sielewi!?Kiba jana ilikua birthday yake,ulimpongeza!?Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?!Hatuna chuki na mtu we r just bussy doing our things!!
Ana ID ngumu sana mwenzetu,khaaa lakini nampenda hadi nasinzia u know....haha haaaa
Usijali mine,nawaza kuchange I'd ili nisiwape shida sana,U knw uzungu ndo kila kitu u knw!!Am humbled kuwa part ya hii familia!!Nakupenda sana pia mpaka natetemeka u knw!!Mimi mbele ya Kiba nimeitwa msukule u knw!!
Sasa wivu ni kutompongeza dai?kafanya nini kwani mi sielewi!?Kiba jana ilikua birthday yake,ulimpongeza!?Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?!Hatuna chuki na mtu we r just bussy doing our things!!
Alaaaaa!!Inapaswa waelewe chuki na wivu sio jawabu la kila swali!Nadhani jibu sahihi ni Kuwa to us Kiba is the best!!Simple like that!!wanapenda hao hilo neno la chuki jamani, mie cdhani hata waliomzomea dai km walikuwa na chuki naye ila walitaka kumuonyesha kuwa kuna mahali kakosea ajirekebishe!!! mbona wasizomewe wengine?? mf lina mie ckuona hata alichoperform ila mbina hakuzomewaa, tulieni mcpaparike kulazimisha visivyokuwepo, alaaaaaaaa
pole na majukumu mwl wa ukweli, mie nikajua umewapa watu adhabu ya kuruka kichura chura maana zilirukwa hapa, sie tukawa tunawacheki tu
Usijali mine,nawaza kuchange I'd ili nisiwape shida sana,U knw uzungu ndo kila kitu u knw!!Am humbled kuwa part ya hii familia!!Nakupenda sana pia mpaka natetemeka u knw!!Mimi mbele ya Kiba nimeitwa msukule u knw!!
Usijali mine,nawaza kuchange I'd ili nisiwape shida sana,U knw uzungu ndo kila kitu u knw!!Am humbled kuwa part ya hii familia!!Nakupenda sana pia mpaka natetemeka u knw!!Mimi mbele ya Kiba nimeitwa msukule u knw!!
Sote ni watanzania tuheshimu wenzetu wanapo onyesha njia.