miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Ha ha ha ha maneno ya kujifariji hayo
Ukweli ndo huo.....chezea nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha maneno ya kujifariji hayo
Miss umenikumbusha mbali sana, wakati huo nilikuwa na kijikazi fulani katika maeneo ya waakina 20% nilistaajabu kuona kwao kuna ghorofa ya udongo ila huyu mtu yupo jamani.
Tuzo hata 20% wa kimazichana kajaza begi.
MTV EMA 2014 | 9.11.2014 | Glasgow | Vote
bonyeza link hiyo kumpigia dimond kwenye tuzo za MTV....................
Hebu ondoa haya mavi hapa, hivi kwa nini mnatuletea fujo hapa? Subirini hilo domo lenu lizomewe tena.
Hebu ondoa haya mavi hapa, hivi kwa nini mnatuletea fujo hapa? Subirini hilo domo lenu lizomewe tena.
Hio ni kweli itawasaidia kufika sehemu pia kuwashauri haya malumbano yasio na kichwa wala mguu maneno mengi ushauri zero ndo unawapoteza ingekua vema kuwashindanisha kupata platform ya kufika juu.but majority ya teams ni ushabiki usio na tija sijui unamnufaishaje msanii umenena point ya maana
Kumbe na wewe ni mshamba wa magari mamii?hadi umri huo ulionao hujawahi kumiliki lako mwenyewe???
Inaelekea unatamani kuhongwa kweli kama boss wako wema...looh
wee umemtokea wapi 20% kama jipu la ta.ko??? kweli mmevurugwa
Hio ni kweli itawasaidia kufika sehemu pia kuwashauri haya malumbano yasio na kichwa wala mguu maneno mengi ushauri zero ndo unawapoteza ingekua vema kuwashindanisha kupata platform ya kufika juu.but majority ya teams ni ushabiki usio na tija sijui unamnufaishaje msanii umenena point ya maana
Mi nasubir hawa Team Ndomo watoke povu likiwaisha tu narud kwenye lengo la uzi.
ni jinsi gani mtamsupport kwa kuprint Tshirt ili mpate hela ...wazo zuri sana hili
hahahahaa embu sisi tuendelee kujionea vutuko humu ndani, hawa ndio wanaojiita team kiba tena front line vilaza wooote, huyo kiba ataacha kufulia kweli.
Sijaingia hili jukwaa siku nyingi mno ila naomba kuuliza,,,,Hivi watu wanamchukia Diamond kwasababu gani?
Maana usikute mtu ana kacertificate kake, diploma sijui Degree afu mshahara wa laki3 hapo chuo kapigwa sana free P na lecture atoe ma SUP mwenzako hata form four haijui na katoboa maisha.
JEALOUS PEOPLE NEVER WIN!!
Mi nasubir hawa Team Ndomo watoke povu likiwaisha tu narud kwenye lengo la uzi.
yap yap ukweli ni lazima usemwe mamiiBora niwaambie the truth ina set watu free kwakweli kuliko apotee na bado kijana mdogo sasa na u Germany na Uk alifanyiwa hujuma too much shobo ni harmful kwa career yake ka mwanamziki sasa team yake hawa mshauri ata akienda against wanabaki wivu chuki mziki ni technique ndo mana akina Jidee ka survive hata clouds walivo mletea zengwe alikua na public support sasa Daimond sijui iko wapi mana hata mitaani watu wana boreka hadi kumwita malaya maneno kibao akitaka kufka mbali ajirekebishe ndo solution huweZ kuwa kioo cha jamii every day na skendo za ajabu sasa hapo suport itatoka wapi kwa jamii @srbachelor
Sie tuna mpango wa kumchangia pesa atoe video ya mwana, wataiona soon sio blah blah
Wakibanwa na haja tuwaache tu,ila wakianza kuharisha tu....aiseeee patawaka moto
and they will die their eyes open.