Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Nakuheshimu sana Avemaria umejua kufunga watu midomo. Asante sana.
Ova
Ameombwa sana afanye kichupa cha mwana ingawa alitaka aachie ngoma mpya na chupa jipya..so chupa la mwana kama kawa. .kwa mujibu wa mtu wa karibu zaidi amenambia kuna ngoma anataka kuirelease soon ni msiba hiyo ngoma jinsi kiba alivyopita. ..akitoa hiyo ngoma msishangae mtaa wa pili wakajisingizia hata uhanithi ili wapate kick kwenye media na wakapanic kutoa nyimbo mfululizo. ....kuna show watu wamempandia bei tatizo hawajafika anapotaka kiba!mchizi kiba hana papara yaani alivyorelax huwezi jua km kuna watu wamepanic ujio wake
Hahahahaaa wewe mtoto unaishi wapi jamani?mbona una vituko hivyo???
Wewe Kibaraka ebu katombeshe mbele uko kama unawashwa, soma post ya kwanza mpaka hii ujuwe nani mwenye matatizo Kenge wewe mkundupagaz..
acha kujifurahisha wewe kijana hizi story za vijeweni kwenye kahawa peleka huko mbali kiba kufika level za diamond. siyo leo .......
Goo goo go!!go Beauty!!Goo goo!Its ur homeee gooo
acha kujifurahisha wewe kijana hizi story za vijeweni kwenye kahawa peleka huko mbali kiba kufika level za diamond. siyo leo .......
Muuza Sura ni mmoja ya watu waliowekwa mbali na ufalme wa Wasafi, stress zitamaliziwa wapi kama sio jf. umarioo ndio mpango uliobaki game zote zishakataa.

kiba is on his own level...nani kakuambia kiba anafanya music awe level moja na diamond?unajua cape town mpaka sasa kiba kakataa offer ngapi za show kisa hawajafika bei
kuwekwa mbali au kujiweka mbali?...wish ujue behind the scene!

Morning good people!I wish u a nice day,Kila la Heri kwa Ally K,haters pia muwe na siku njema bila ninyi King atabweteka so keep on hatin...He keep on workin!!