Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Naona watu wameanza kuattack mpaka maisha binafsi ya wenzao kisa tu wamemchagua Kiba!!

Huyo ndiye matumbo bwana...anajidai yeye mtoto wa mjini kila kitu anajua yeye!Ajabu alijidai davido hatopanda jukwaani fiesta la sivyo damu itamwagika lakini alipanda na sijaona reaction yoyote
 
Last edited by a moderator:
ngoja waje team kiba

Hizi team wanaweza hata kupeana simu.

Yaani kuna watu wanamchukia kiba/diamond toka moyoni kabisa na Nina uhakika 99% ya hao wenyewe chuki hawajawahi kuonana na kiba or diamond.

Why umchukie mtu ambae hata hakujui?

Hanna mtu anazaliwa na chuki ila wanajifunza tu.

Hizi team mavi mavi za bongo ni janga kwa maendeleo ya muziki na maendeleo ya vijana wanaojituma.

Hivi huwezi kumpenda kiba bila kumchukia chibu? Na vice versa!!

matumbo
 
Last edited by a moderator:
Mi simjui nilikuwa nauliza tu

Acha kujikosha wewe!eti ulikua hujui....si ungeuliza Ally Kiba ni nani?
Kwanza usinipotezee muda,hakuna asiyemjua Kiba Tanzania hii chuki zitakutafuna hadi mifupa....pita hivi <<<<<<<< rudi ulikotoka.
 
Yeye kila saa kulalamika chuki maneno kibao ni mtu mlalamishi ana matatizo ya kisaikolojia kila dakika anawaza vitu negative hili ni tatizo

Hahahaaaa achana naye yule mtetemekaji hata kuandika vizuri tu hawezi kwa roho yake mbaya
 
Hahahaaaa achana naye yule mtetemekaji hata kuandika vizuri tu hawezi kwa roho yake mbaya

Yule binti ana matatizo na chuki sana,hii burudani tu anapatwa hadi pressure!!Nyaraka zake ndefu kama report ya escrow namwoneaga mpaka huruma,ila humu wanapapenda kumesheheni vichwa hatariiii!!Mie penda sana Avemaria!!
 
Hizi team wanaweza hata kupeana simu.

Yaani kuna watu wanamchukia kiba/diamond toka moyoni kabisa na Nina uhakika 99% ya hao wenyewe chuki hawajawahi kuonana na kiba or diamond.

Why umchukie mtu ambae hata hakujui?

Hanna mtu anazaliwa na chuki ila wanajifunza tu.

Hizi team mavi mavi za bongo ni janga kwa maendeleo ya muziki na maendeleo ya vijana wanaojituma.

Hivi huwezi kumpenda kiba bila kumchukia chibu? Na vice versa!!

matumbo

Haha haaaaa nakuona Deo mtanganyika...
 
Last edited by a moderator:
Yule binti ana matatizo na chuki sana,hii burudani tu anapatwa hadi pressure!!Nyaraka zake ndefu kama report ya escrow namwoneaga mpaka huruma,ila humu wanapapenda kumesheheni vichwa hatariiii!!Mie penda sana Avemaria!!

Huu uzi hakuna asiyepitia hapa,wanapita kimyakimya lakini uzalendo ukiwashinda wanaropoka...heheheheerrrr ila kuna hao wawili wanaogopa balaa,mmoja ana like tu na mwingine anacomment mara moja.....uwiiiiiii chezea kiba fans wewe?
 
Nampenda Kiba mpaka naumwa!!Hutaki kafie Magwepande!...nawapenda sana wapenzi wa Kiba nawaonea wivu kwa mambo mazuri yanayokuja!!

Uwiiiiii nimem miss Kiba ngoja nimfuate instagram
 
Jana nikawa naangalia miziki basi nikaona video ya Abdu Kiba ya kizunguzungu kumbe director alikua Ally Kiba bwana?basi nilisisimka balaa nikawakumbuka hatariiiiii

i dont hate any1 n i ll never will as hainiongezei chochote!!! Ilaaa..... nampenda Kiba mpaka naumwa, huhuuuu
 
Utakuwa wa ajabu kujibishana ma watu wanaokwenda beach wamejazana kwenye Coaster na mabendera sikukuu hadi sikukuu.

Wakati mwingine ni jambo la busara sana kuwa upande mmoja na Matola, jamaa anawajulia hawa wapuuzi hadi wanamhofia.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Nina kila sababu ya kumshabikia na kumpenda kibaaaaaaaa!! keeep it up uendelee kutupa rahaaaa, i will always love him nomatter wht na siyumbishwi maana mie sio shabiki maandazi, so Kiba foreveeeeeer
 
Back
Top Bottom