Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

ngoja waje team kiba

Hizi team wanaweza hata kupeana simu.


Yaani kuna watu wanamchukia kiba/diamond toka moyoni kabisa na Nina uhakika 99% ya hao wenyewe chuki hawajawahi kuonana na kiba or diamond.


Why umchukie mtu ambae hata hakujui?

Hanna mtu anazaliwa na chuki ila wanajifunza tu.


Hizi team mavi mavi za bongo ni janga kwa maendeleo ya muziki na maendeleo ya vijana wanaojituma.


Hivi huwezi kumpenda kiba bila kumchukia chibu? Na vice versa!!

matumbo

Puliiiz hapa hatuna Team mtuache tupumuwe, hapa tupo Ally Kiba Fans kwa raha zetu na kwa bundle zetu.

BTW hongera kwa kupita hapa tumepata salam kama umerecharge bundle maana usipopita kwenye uzi huu wananchi wanaamini kabisa hauna bundle.

Free country kabla haujatushangaa sisi kawashangae kwanza wapenzi wa Regge kila mwaka wanafanya Tamasha la Bob Marley day na uwashangae zaidi mashabiki wa Manchester, Arsenal, Chelsea na Liverpool wamewahi hata kukanyaga Uingereza?
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi hakuna asiyepitia hapa,wanapita kimyakimya lakini uzalendo ukiwashinda wanaropoka...heheheheerrrr ila kuna hao wawili wanaogopa balaa,mmoja ana like tu na mwingine anacomment mara moja.....uwiiiiiii chezea kiba fans wewe?

Na wanapita sana kuangalia hali ya hewa uzalendo ukiwashinda ndo wanajitoa ufahamu mbona sasa hatuendi kwenye Uzi wao kugangaika nao waendelee tu kupita kimya kimya sasa na Kiba mwanzo mwisho
 
hata km una uhuru wa maoni inatakiwa ujitathmini pia, vingine gugumia tu upite kimya, hulazimishwi kuwa fan wa kiba, soooo mtuacheeee tujiachieeeeeee kwa rahaaaa na shida zetu maana pia haziwahusu, KIBAAAAAAA
 
Puliiiz hapa hatuna Team mtuache tupumuwe, hapa tupo Ally Kiba Fans kwa raha zetu na kwa bundle zetu.

BTW hongera kwa kupita hapa tumepata salam kama umerecharge bundle maana usipopita kwenye uzi huu wananchi wanaamini kabisa hauna bundle.

Free country kabla haujatushangaa sisi kawashangae kwanza wapenzi wa Regge kila mwaka wanafanya Tamasha la Bob Marley day na uwashangae zaidi mashabiki wa Manchester, Arsenal, Chelsea na Liverpool wamewahi gata kukanyaga Uingereza?

comment yangu nilichangia kwenye uzi flani hivi imemuvuzishwa humu nisingeweza kuandika ngoja waje team kiba wakati uzi ni wa kiba fans
 
Ameombwa sana afanye kichupa cha mwana ingawa alitaka aachie ngoma mpya na chupa jipya..so chupa la mwana kama kawa. .kwa mujibu wa mtu wa karibu zaidi amenambia kuna ngoma anataka kuirelease soon ni msiba hiyo ngoma jinsi kiba alivyopita. ..akitoa hiyo ngoma msishangae mtaa wa pili wakajisingizia hata uhanithi ili wapate kick kwenye media na wakapanic kutoa nyimbo mfululizo. ....kuna show watu wamempandia bei tatizo hawajafika anapotaka kiba!mchizi kiba hana papara yaani alivyorelax huwezi jua km kuna watu wamepanic ujio wake

Inaitwa HELA..

Hatar sana hii..
 
Acha kujikosha wewe!eti ulikua hujui....si ungeuliza Ally Kiba ni nani?
Kwanza usinipotezee muda,hakuna asiyemjua Kiba Tanzania hii chuki zitakutafuna hadi mifupa....pita hivi <<<<<<<< rudi ulikotoka.

Asante kumbe anajulikana Tanzania. Je ni mwanamitindo au?
 
Asante kumbe anajulikana Tanzania. Je ni mwanamitindo au?

Wewe mwanamke umetumwa nini?kwenye hii thread tunajadili nini kwa mfano?
Anyways,ni mwanamitindo pia na huu ndio mwisho wa kukujibu
 
Haha haaaaa na mtakuja kimyakimya sana mwaka huu
 
Wewe mwanamke umetumwa nini?kwenye hii thread tunajadili nini kwa mfano?
Anyways,ni mwanamitindo pia na huu ndio mwisho wa kukujibu

Achana naye Huyo anajipya ukiendeleza naye malumbano kama anataka habari zake a Google kwanza katukana a mind business zake
 
Mi nashangaa!Pilipili isio kuhusu yakuwashia nini?Hatujamlazimisha mtu ampende Kiba!!Wala hatujawahi kuwafata kwenye uzi wao kuwashushia makombora au kuwa attack au kuwachokoza!!Lakini wao kutwa kuchwa wapo humu!!Alafu ieleweke,kuwa shabiki wa mtu fulani haimaanishi kuwa unamchukia mwingine!!Sasa zile pointless facts za kusema ...'utakuta wanasilizaga nyimbo zake fulan!au zipo kwenye simu'...la ajabu lipi!!Unaweza ukawa na collection ya nyimbo zaidi ya million ya wasanii mbalimbali but kuna wachache wanaukonga moyo wako!!Ni kama mie nasikiza nyimbo za mahadhi mbali mbali kutoka kwa singers mbalimbali bt kwa hapa home bongo flava my best ni the King himself!!
 
Achana naye Huyo anajipya ukiendeleza naye malumbano kama anataka habari zake a Google kwanza katukana a mind business zake

Usijali my dear,nimeshalijua hilo ndio maana nimemuambia huu ni mwisho wa kumjibu,nimeshamuweka kwenye dustbin kama wenzie
 
Wewe mwanamke umetumwa nini?kwenye hii thread tunajadili nini kwa mfano?
Anyways,ni mwanamitindo pia na huu ndio mwisho wa kukujibu
Ilo jipapa kiboko yake Matola alishamjibu vizuri sana ila bado anawashwa!!
 
Chuki nichukieee roho yangu niachieeee!!Kiba miaka mia,maneno hasi juu yake ni kama catalyst ya kuongeza mapenzi yangu kwake!!
 
Asante kumbe anajulikana Tanzania. Je ni mwanamitindo au?

hapana sio mwanamitindo ni mwanamuziki ila pia ana kipaji cha mpira wa miguu.Mbeya city wanatafuta mshambuliaji km vp angepima upepo hko maana mziki inaonekana km umemkataa ila kuna watu wanamjaza ujinga anaendelea kusugua.Ana watoto watatu wote wanaishi kwa bibi yeye yupo dusco inavyoonekana miaka ya badae vile vifaranga vitakuja kurithi blackberry
 
Back
Top Bottom