Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ameombwa sana afanye kichupa cha mwana ingawa alitaka aachie ngoma mpya na chupa jipya..so chupa la mwana kama kawa. .kwa mujibu wa mtu wa karibu zaidi amenambia kuna ngoma anataka kuirelease soon ni msiba hiyo ngoma jinsi kiba alivyopita. ..akitoa hiyo ngoma msishangae mtaa wa pili wakajisingizia hata uhanithi ili wapate kick kwenye media na wakapanic kutoa nyimbo mfululizo. ....kuna show watu wamempandia bei tatizo hawajafika anapotaka kiba!mchizi kiba hana papara yaani alivyorelax huwezi jua km kuna watu wamepanic ujio wake

utafanya watu wachambe bila kunya
 
kuwekwa mbali au kujiweka mbali?...wish ujue behind the scene!

Whatever the case may be.....
Usiruhusu mtu akuchochee kwa mambo yasiyohusu.

Hakuna haja ya kuanza kujielezea ama kumueleza mtu, mwache aendelee kuamini vile anavyoamini coz unaweza kumueleza na asikuamini vilevile. Tangu lini asojua maana akaambiwa maana???

The fact is, kila mtu ana sababu zake za kumpenda/kumchagua mwanamuziki ampendae na kumfurahia.
 
kiba is on his own level...nani kakuambia kiba anafanya music awe level moja na diamond?unajua cape town mpaka sasa kiba kakataa offer ngapi za show kisa hawajafika bei

wao si team NGONO...?
maisha ya show off mda wote location
 
Whatever the case may be.....
Usiruhusu mtu akuchochee kwa mambo yasiyohusu.

Hakuna haja ya kuanza kujielezea ama kumueleza mtu, mwache aendelee kuamini vile anavyoamini coz unaweza kumueleza na asikuamini vilevile. Tangu lini asojua maana akaambiwa maana???

The fact is, kila mtu ana sababu zake za kumpenda/kumchagua mwanamuziki ampendae na kumfurahia.
Its a free country,!!Uhuru wa kuchagua kumshabikia mwanamuziki yeyote unahusika!!Mtu mwenye akili timamu unapaswa kutambua kuwa binadamu tumeumbwa tofauti sana hatufanani,so sio lazima wote tufanane preference na mitazamo yetu,unachokiona wewe bora mie naona mavi ya kuku tu!!So usinitusi na kunikalia kooni kisa nimeamua kumpenda Kiba na vices zake ivo ivo haikuhusu!!
 
Nilivogundua hilo,niliwadharau hao haters hawastahili kabisa kujibiwa tukiwafaham personally tutatema mate chini!

Ukitaka kuwajuwa hawa vizuri wewe muulize Billionare Le Mutuz.

Aliangaika usiku na mchana kuwasaka waliokuwa wanamtukana kwenye viblog vyao vya uchochoroni walipofanikiwa na Polisi ikabidi kesi yenyewe ihishie hapo hapo maana mtu mwenye waliemkamata ukimuangalia tu tayari maisha yameshampa adhabu.

Yani we acha tu hizi fekelo Id zinawastiri wengi kweli.
 
Whatever the case may be.....
Usiruhusu mtu akuchochee kwa mambo yasiyohusu.

Hakuna haja ya kuanza kujielezea ama kumueleza mtu, mwache aendelee kuamini vile anavyoamini coz unaweza kumueleza na asikuamini vilevile. Tangu lini asojua maana akaambiwa maana???

The fact is, kila mtu ana sababu zake za kumpenda/kumchagua mwanamuziki ampendae na kumfurahia.

mi luv uuuu
 
hivi alirudi kutoka wapi?alikuwa hayupo nchini au amefufuka katika wafu?.mnaojua naombeni mnijulishe waungwana
 
Its a free country,!!Uhuru wa kuchagua kumshabikia mwanamuziki yeyote unahusika!!Mtu mwenye akili timamu unapaswa kutambua kuwa binadamu tumeumbwa tofauti sana hatufanani,so sio lazima wote tufanane preference na mitazamo yetu,unachokiona wewe bora mie naona mavi ya kuku tu!!So usinitusi na kunikalia kooni kisa nimeamua kumpenda Kiba na vices zake ivo ivo haikuhusu!!

Si ndo hapo sasa.

Tena niwafafanulie vizuri....mi sio tu kwamba nimemchagua Kiba, bali nampenda saaaaana tyuuuu!!
He is the King, nampenda kama pesaaaaa!!! Habari ndo hiyo, atakayeguna kapenda signature yangu!!
Ova
 
Ameombwa sana afanye kichupa cha mwana ingawa alitaka aachie ngoma mpya na chupa jipya..so chupa la mwana kama kawa. .kwa mujibu wa mtu wa karibu zaidi amenambia kuna ngoma anataka kuirelease soon ni msiba hiyo ngoma jinsi kiba alivyopita. ..akitoa hiyo ngoma msishangae mtaa wa pili wakajisingizia hata uhanithi ili wapate kick kwenye media na wakapanic kutoa nyimbo mfululizo. ....kuna show watu wamempandia bei tatizo hawajafika anapotaka kiba!mchizi kiba hana papara yaani alivyorelax huwezi jua km kuna watu wamepanic ujio wake

Uwiiiiiii nafwa mimi jamani! Muuza Sura akiwa kimya lazima arudi na habari za msiba kama hizi.
Natamani Kiba afanye mambo fastafasta anatutesa sana wapenzi (sisi ni zaidi ya mashabiki) wake!!!
 
Ally Kiba namheshimu sana, mnooo yaani.
Look at the situation....no promo or whatsoever of the like, but see jinsi mziki wake unavyojiuza wenyewe!!
Jinsi unavyopendwa!!!
Loh hakunaga kama Kiba!

Hakunaaaaa,nampenda hadi natetemeka....lol Ms.Lincoln
 
Last edited by a moderator:
Whatever the case may be.....
Usiruhusu mtu akuchochee kwa mambo yasiyohusu.

Hakuna haja ya kuanza kujielezea ama kumueleza mtu, mwache aendelee kuamini vile anavyoamini coz unaweza kumueleza na asikuamini vilevile. Tangu lini asojua maana akaambiwa maana???

The fact is, kila mtu ana sababu zake za kumpenda/kumchagua mwanamuziki ampendae na kumfurahia.

nampenda Kibaaaaaa!! thats it
 
Back
Top Bottom