Ali Kiba Fans' Special Thread...

Miss umenikumbusha mbali sana, wakati huo nilikuwa na kijikazi fulani katika maeneo ya waakina 20% nilistaajabu kuona kwao kuna ghorofa ya udongo ila huyu mtu yupo jamani.

Yupo......anakula majani mpaka anasahau kunyoa nywele.
 

Hapa wanashindana kuuza Tshirt
 
Kumbe na wewe ni mshamba wa magari mamii?hadi umri huo ulionao hujawahi kumiliki lako mwenyewe???
Inaelekea unatamani kuhongwa kweli kama boss wako wema...looh

Hivi video ya mwana ishatoka??
 

Hii mwanamke ina akili inafaa kuwekwa ndani izae watoto talent km ally k n fighter km dangote😉
 
ni jinsi gani mtamsupport kwa kuprint Tshirt ili mpate hela ...wazo zuri sana hili

hahahahaa embu sisi tuendelee kujionea vutuko humu ndani, hawa ndio wanaojiita team kiba tena front line vilaza wooote, huyo kiba ataacha kufulia kweli.
 
hahahahaa embu sisi tuendelee kujionea vutuko humu ndani, hawa ndio wanaojiita team kiba tena front line vilaza wooote, huyo kiba ataacha kufulia kweli.

Sie tuna mpango wa kumchangia pesa atoe video ya mwana, wataiona soon sio blah blah
 

and they will die their eyes open.
 
Mi nasubir hawa Team Ndomo watoke povu likiwaisha tu narud kwenye lengo la uzi.

hahahaha tumemeza omo hivyo utangoja sana wee toa ushauri wako tu hapa, kiba afanye nini ili amfikiwe dangote????? tiririka anakusikiliza
 
yap yap ukweli ni lazima usemwe mamii
 
Sie tuna mpango wa kumchangia pesa atoe video ya mwana, wataiona soon sio blah blah

dina tuununue huu uzi sisi au unasemaje?? tumpe kiba ushauri wa kisomi, nae awe anafly kila week kwenda mbele kuoiga show, maanake naona tutafika page ya mia sasa hivi hakuna ushauri wowote aliopewa huyo kijana wetu, mtoa mada nae badala ya kuwaongoza wenzake kazimika mapemaaa, kwa kifupi wameshamvuruga, ila nia yake ilikuwa nzuri na yakueleweka, sasa walivyokuja hawa vilaza waliokwisha disco maisha kitambo wananaishi tu kwa neema, wakaanza kuropoka, mmoja akasema mimi nitatoa tshet, mwingine mimi opener( huyu anayetaka kutoa opener atakuwa bar maid huyu si bure) sasa ndugu zangu team kiba embu tuu niwaulize kwa herufi ndogo, mmeamua kumfanya mwenzenu ni mtaji???

baadala mjichange hata mimi na Dina tupo tayari kuchangia kijana atoe video mnawaza fursa, kweli nimeamini wenye mapenzi ya kweli ni baba na mama tu hawa wengine watakufelisha.
 
Wakibanwa na haja tuwaache tu,ila wakianza kuharisha tu....aiseeee patawaka moto

Thubutuuuu!!! Jeuri hiyo wanayo?
Wakijitahidi sana wataishia kujamba tu kwa loud speaker na harufu isisikike wala haja isitoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…