Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Nachekaje sasa!!yani navuta picha!!mama mbaaavu zanguuu...leo nlikua naangalia video mpya yake nakwambia linacheka kama limelazimishwA mimeno mingiiii!!ah jamani Mungu kaumbaaa!!Kuna picha iliwahi kuwekwa hapa JF ya Kiba na ndomo enzi hizoooo hajatoka!uwiiiiii utadhani mtu na house boy wake,najuuta kwa nini sikui save leo ningeiweka tucheke hadi basi
Please mwenye nayo aiweke jama
