Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nipo humu longtime sana...... Tangu Mkuu matola anazidua jukwaa muulize nifah ananijiua.... Sema nipo busy mwisho wa mwaka huu kazi ndo zinabana...

Naanzaje kukusahau mpenzi wangu?mkali wa kutoa dose kwa haters....uwiiiii
 
Nipo humu longtime sana...... Tangu Mkuu matola anazidua jukwaa muulize nifah ananijiua.... Sema nipo busy mwisho wa mwaka huu kazi ndo zinabana...

i know mama, nimekukaribisha as umepotea sn, pole na majukumu, karibu tena
 
Jamani pamoja na mjadala wote ila ally kiba ni kiboko Yao na kukaa kimya wapo wasanii wa nje wakubwa wana kaa kimya lakini akirudi anatisha sasa tusiendekeze unazi usio na msingi jamaa wenu kila siku nyimbo za kulilia mapenzi

wanaamini kuchkua tuzo ndo mafanikio ohooo
ngoja waje hapa
 
Eti diamond anaimba kuliko p2,mafikizolo,davido na dibanj......... Hapana jamani tunaibiwa kweupe peeee bora nibaki kwa Alikibar kwenye uhalali kuliko kunako vuma kwa uwizi..... Tangu nimezaliwa sijawahi kusikia wimbo Wa Diamond wenye ujumbe Wa maana... Ni kweli wapumbavu ni wengi na wanapenda meaningless........ Am out

where hav u biin?maini!
daah umetutelekeza sana
 
hahaaaaa!!! kinyakyusa hicho najua hicho tu, i had a frnd mnyaki

Hahaaaa lakini kinaonekana kizuri hatariii...ijimbombo,twalipo sijui nini
Kha! geniveros anakijua hatariii
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa, nifah umeniponza mwenzako, yaani niko na watu hapa nikasoma hii post yako nikacheka kwa sauti ya juu hadi wamenishangaa.
Ova

Hahahaaa poleee....uwiiiii atoto akiiona hii itakua sheedah!am out
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom