Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mhuuu!!Jamani Diva Beyonce the man himself ndo amekuita basi fanya ujeee!!Ila mnatuzuga nyie,mmeshinda wote eti unakuja kumtafuta hapa!!Ha ha ha
 
"we mwana wewe mwana, mwana jeuri sanaaa ulichokifata hukupata twintwintwi ntwiii"
 
Naona umelewa maneno ya haters kwenye ule uzi sasa....taratiiibu unataka kuungana nao nadhani hilo hujalitambua
Ni mara ngapi Mdakuzi na MuuzaSura wamesema hapa kuhusu project za Kiba?
Keep calm and waiting mama

Kiba mbona amesharudi vizuri, na nakumbuka aliwahi kukiri alikuwa na tatizo la management, alisema alipokuwa likizo aliamua kuwa kama shabiki wa muziki na kutazama ni wapi alikuwa akikosea, nadhani ndio maana wimbo wake wa kwanza toka arejee umebamba.
Ova
 
Last edited by a moderator:

Mambo ya Escrow yalifanya nikeshe, so kesho nikawa nauchapa usingizi kwa kulipizia ndo maana niliadimika hapa wapendwa.
Ova
 


kawaida yake kubamba, hilo la management sasaaaaaaa yaani hapo ndio penyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…