Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Dada una roho nyeusi mpaka kuombeana vifo!unlike us,tunawaombea mashabiki wote wa ndomo na yeye mwenyewe maisha marefu yalojaa fanaka na afya tele!adui yako mwombee maisha ili aone mafanikio yako,huu ni ushabiki tu usitoe utu na upendo wetu kama binadamu!Ndo maana mnapoanza kutukana tunawadharau tu
embu nitolee unafki wako hapa, nioneshe post yoyote ya ninyi mnaojiita sisi, mliomwombea heri mondi???? wenye ROHO MBAYA KAMA WAKAANGA SUMU NI NYIE MNAOJIITA SISI, MLIYEMZOMEA KIJANA WA WATU KWA JUHUDI ZAKE. narudia tena utakufa macho wazi kwa roho mbaya zenuu, kila kukicha mmekalia kumtukana mondi wa watu, mara malaya utadhania anatumiaga dudu zenu, mara anaringa maneno mabaya juu yake hayawaishi, kuna aliyeandika hapa jf anatamani na anamuomba Mungu kila siku ili mondi afulie, mtu kama huyu kwanini asife amesimama???? ndio ishasema sasa