Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kwani wakitakiana kuna shida gani na nnyie takieneni kumbe hadi watu wakitakiana siku njema mnaumia majanga kweli😱😱😱:what:

Hana lolote mpaka tuongee sie na wao ndo wapate cha kujadili!

Binadamu sie akili zetu nyepesi sana, tumwache kijana afanye yake kwa nafasi yake!
 
La.. Akija kuniua utanitetea?maana kuna mahali niliona anachambwa mtu eti alikua anajifanya anajibebisha kwako kumbe umempa simu achati naye!!
Any Man who can not protect a woman is useless that is rule number one.
Mie blackberry ya kuslide na bado inakuja application ya kuangalia pic tu hata siielewi
Nashangaa mpaka leo mnayang'ang'ania hayo mablackberry wakati huu ni ulimwengu wa Samsung. Next year inabidi ubadili device.
 
Any Man who can not protect a woman is useless that is rule number one.

Nashangaa mpaka leo mnayang'ang'ania hayo mablackberry wakati huu ni ulimwengu wa Samsung. Next year inabidi ubadili device.

You are so smart!!Hayaa jibu swaliiiii!!,iyo samsung utaninunulia?(Nangoja jibu)
 
Any Man who can not protect a woman is useless that is rule number one.

Nashangaa mpaka leo mnayang'ang'ania hayo mablackberry wakati huu ni ulimwengu wa Samsung. Next year inabidi ubadili device.

Kha!Leo Matola unaongea ukweli mtupu yaani...
Nimeipenda hiyo rule # one...That's my Mdakuzi....yes,he knows how to protect me!
 
Last edited by a moderator:
dear lovely family, gooood night leo naomba niwaage mapema maana nina project ya muhimu! see ya tommorow
 
Woow! Miongoni mwa vitu napenda kwako ni kushukuru na kuridhika, thanks a lot my nifah

Mhhhh...ila mwenzangu ukinifanyia surprise nyingine sikushukuru tena hapa maana balaa lote lilianzia pale.
Hata ukininunulia ile ndege uliyoniahidi sisemi tena.....lol
 
Last edited by a moderator:
dear lovely family, gooood night leo naomba niwaage mapema maana nina project ya muhimu! see ya tommorow

Let the nature take its place now, enjoy the show ongeza bidii.
 
Mhhhh...ila mwenzangu ukinifanyia surprise nyingine sikushukuru tena hapa maana balaa lote lilianzia pale.
Hata ukininunulia ile ndege uliyoniahidi sisemi tena.....lol
Hahahahaaaa! Jamani wewe si unajua kama mimi napenda surprise? Sasa nitaachaje? Sijui kama nitaweza baby!
Ova
 
Hahahahaaaa! Jamani wewe si unajua kama mimi napenda surprise? Sasa nitaachaje? Sijui kama nitaweza baby!
Ova

Awwwwwweee nitafanyaje sasa jamani na mimi siwezi kuvumilia?
Ooohhh itakavyokua bwana baby I don't care
 
MKUU Sana Matola bado mi nasubiri T-shirt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…