Ali Kiba Fans' Special Thread...

na wamekazana kweli eti mara tuna roho mbaya mara ngumu heeee cha mtu mavi mtupishe hukoo, ndo tushamchagua Kiba tenaaa na tunampendaaa mnoooo lkn hatumchukii mondi, hahaaaaa mie penda hii
 
Jamani kwani Matola kumpenda atoto ni sawa na kusema matola anamchukia Ms.Lincoln??Au Mdakuzi kumpenda Ms.Lincoln ni sawa na kusema anamchukia nifah?Au Buku saba FC kumpenda Diva Beyonce ni sawa na kusema anamchukia Avemaria?(Confuse them!)
 
hahaaaa!! alafu kuna kitu nilitaka nikuulize ila nimeghairi
 
mtandao unanisumbua kweli toka jana usiku
wale vihedemswede wasio na haya,wasojua vibaya washukuru tu network inanieumbua airtel mbwaa kweli
 
Tatizo lako hutulii kwenye hoja, unaruka ruka huku na kule. Kwa hiyo wewe unaamini kwamba waalimu wako sasa hivi wanashindana na wewe?
Bado hujajua mafanikio ya kimuziki ni nini? Ndilo tunalozungumza me & u kwenye post nyingine. So huwezi zungumzia mafanikio ya kimuziki bila kuyajua.
Kiba ana wimbo mmoja tu tangu arudi tena kwenye muziki, tena baada ya kutulia kwa miaka mitatu na nusu. Ukizungumzia past Kiba yuko vizuri zaidi ya wanabongo flava's wote.
Ova
 
yaani ninavyompenda kiba jamani hata iweje i'll b his fan, hata aimbe taarabu na sihitaji facts kwa hili maana mie nahitaji burudani hayo mengine hayanihusu
 
Eti wao kwa tafsiri yao ni kwamba kumpenda Kiba ni kumchukia Diamond, kwa lugha nyingine Mdakuzi kumpenda nifah ni sawa na kumchukia Diva Beyonce!! Watu wa ajabu sana hawa.

Yaani kama hawakuelewa kwa ufafanuzi huu basi hawataelewa tena hata wazikwe. Yaani jamaa wana akili ndogo hadi wanatusumbua kuwaelewesha.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa hivi huyu Profesa wa kichina leo anaenda wapi ni saa nzima saa tumegandishwa mataa ya chang'ombe, Kawawa na Nyerere road, hii ni zaidi ya kero.
 
mtandao unanisumbua kweli toka jana usiku
wale vihedemswede wasio na haya,wasojua vibaya washukuru tu network inanieumbua airtel mbwaa kweli

Hahahaaa niliona ulivyopambana...pole sana mpenzi,mimi kuna siku tigo walizingua nikataka kuvunja simu!
 
Wapendwa hivi huyu Profesa wa kichina leo anaenda wapi ni saa nzima saa tumegandishwa mataa ya chang'ombe, Kawawa na Nyerere road, hii ni zaidi ya kero.

Poleee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…