Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha haaaaaa!kuja kwangu mrembo au wataka nitumie plan B
Mi hoooi!!Huo mtihani yule mganga wa tandika ataweza kweli?Had I ng'ombe au wamtafte nyangumi kabisa chezeiiiya kiba wewe
Jamani kwani Matola kumpenda atoto ni sawa na kusema matola anamchukia Ms.Lincoln??Au Mdakuzi kumpenda Ms.Lincoln ni sawa na kusema anamchukia nifah?Au Buku saba FC kumpenda Diva Beyonce ni sawa na kusema anamchukia Avemaria?(Confuse them!)
Njoo chemba niulize wala usijaliii!!hahaaaa!! alafu kuna kitu nilitaka nikuulize ila nimeghairi
Njoo chemba niulize wala usijaliii!!
Tatizo lako hutulii kwenye hoja, unaruka ruka huku na kule. Kwa hiyo wewe unaamini kwamba waalimu wako sasa hivi wanashindana na wewe?Mkuu kunawalimu wangu walifundisha kusoma na kuandika lakin Leo hii mimi nina jiwe lakin wao.bado wana diploma mkuu ..so kufundishwa it doesn't mean kwamba utakuwa downstream kwa hule alikufundisha hivi mkuu huoni kuwa diamond anamafanikia kimuziki kuliko alikiba jamaaa mbona haya mambo yako wazi hayahitaji degree tatu za lemburazzz to identify it...
penda sana ww team kiba tupo juuuu
Nadhani hujaielewa hiyo sehemu, nakushauri uirudie tena kuisoma kwa utulivu kisha utoe tafakuri yako. Ungeelewa usingemtaja Bushoke ambaye hana wimbo ulio kwenye chart za stations.
Sijaona kwanini hukubaliani nami, ndio maana nasema hujaelewa ulichokisoma, nimesema moja ya mafanikio ni kujiendeleza kiuchumi kupitia muziki, sasa si ndio hayo mambo ya albums na mikataba iliyotokana na music jamani?
Tuzo sio kipimo cha mwanamuziki bora, ni pongezi. Tuzo sio kama matokeo ya darasani, ila ni kikundi cha watu wanaamua ni nani wa kumpa Tuzo fulani kulingana na vigezo vyao.
Kama hivyo Nassib kapata Tuzo ya mwanamuziki chipukizi, wakati sisi tunajua kama yeye sio chipukizi kama Mo music aliyeimba Basi Nenda.
Utampimaje Nassib kwa kupata Tuzo za video ya muziki ambayo yeye alikuwa akielekezwa tu cha kufanya na director wa video? CHOAMVA hawaangalii unaimba kiasi gani au unaandika kiasi gani.
Pale wameangalia ubora wa video kwa vigezo vyao ambavyo sisi hatuna nafasi ya kujua, sasa jiulize kwa tuzo zile tumpime kwa ubora Nassib au Ogopa DJ's ya Kenya waliotengeza video ya wimbo uliopata Tuzo zote tatu?
Ova[/QUOT
Kwa huu mtazamo wako basi kweli Ali kiba ni king "but let wait the nature will select "hii pia inakuhusu mkuu ..
" ""!do not think, you
have any right to
command me, merely
because you are older
than I, or because you
have seen more of the
world than I have;
your claim to
superiority depends
on the use you have
made of your time
and experience.""""!!
Eti wao kwa tafsiri yao ni kwamba kumpenda Kiba ni kumchukia Diamond, kwa lugha nyingine Mdakuzi kumpenda nifah ni sawa na kumchukia Diva Beyonce!! Watu wa ajabu sana hawa.
mtandao unanisumbua kweli toka jana usiku
wale vihedemswede wasio na haya,wasojua vibaya washukuru tu network inanieumbua airtel mbwaa kweli
Wapendwa hivi huyu Profesa wa kichina leo anaenda wapi ni saa nzima saa tumegandishwa mataa ya chang'ombe, Kawawa na Nyerere road, hii ni zaidi ya kero.