Ali Kiba Fans' Special Thread...

Pili pili ya shamba yakuwashia nini! *2,umesutwa unamanga mangaa!*2,umesutwa unamanga manga huna ujanjaa!*2,sangura maguru na mapilipilii!
 
Clouds wanaipiga mwana muda huu wameipiga na beat nyingine vocal ni za Kiba ni balaa, traffic wananitolea macho bao linanukia later guys.
 
Clouds wanaipiga mwana muda huu wameipiga na beat nyingine vocal ni za Kiba ni balaa, traffic wananitolea macho bao linanukia later guys.

Ok,burudika zako na mwana....lateeeer
 

Kiba hana wimbo mmoja kijana hayo ni matusi makubwa sana kwa kiba ,jobs ana nyimbo nyingi tena nzuri kuliko huu wimbo unaonekana ni wa ajabu sana kitu ambacho siyo kweli mkuu. Hivi kwanini hutaki kuelew soma mabandiko yangu ukiwa umetulia sisi tunajua alikiba alisimama mziki kwa kuwa alifunikwa na gemu ilikuwa tight sana siyo eti mipango mkuu... sasa wewe unaleta habari as if kiba ni underground ndio.ametoka ili ashindane na domo .... Hukuna any evidence inayoeleza kuwa why kiba was silient only that sasa wewe hiZo hoja unatoa wapi?mkuu?
##Wewe ndio ulisema kiba hasindani na diamond kwa kuwa tu alimfundisha ndio maana nikwambia kumfundisha siyo kigezo cha yeye kuwa upstream than diamond ....ndio maana nikatoa ule mafano sasa kama unaona wewe uko correct kwenye statement yako afu mimi niko wrong nimekujibu out of you justifications basi una matatizo ......
Lastly it seems as trophy hutolewa tu kwa yeyote bila any eligibility for you kweli ? Unaweza kusema trophy zinatolewa tu kihivyo ... Hata product za China zina specific quality mkuu... Kila msanii mkubwa anatamani tuzo mkuu.
 
Tutaiandikia dessertation usijali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…