Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdakuzi kakatazwa kunijibu!mapyaaa!
Mbona sina taarifa hizo? Hahahaaa
Ova
Bao!?be clear!ha ha ha!Clouds wanaipiga mwana muda huu wameipiga na beat nyingine vocal ni za Kiba ni balaa, traffic wananitolea macho bao linanukia later guys.
Clouds wanaipiga mwana muda huu wameipiga na beat nyingine vocal ni za Kiba ni balaa, traffic wananitolea macho bao linanukia later guys.
Hahahaaa niliona ulivyopambana...pole sana mpenzi,mimi kuna siku tigo walizingua nikataka kuvunja simu!
sure nimennua tigo faster yaani wanakera kweli
mtandao umezingua kweli mpaka sasa hv yani
Tigo nao wakianza nitachukiaje?hua nakua kama chizi jamani!!!
Tatizo lako hutulii kwenye hoja, unaruka ruka huku na kule. Kwa hiyo wewe unaamini kwamba waalimu wako sasa hivi wanashindana na wewe?
Bado hujajua mafanikio ya kimuziki ni nini? Ndilo tunalozungumza me & u kwenye post nyingine. So huwezi zungumzia mafanikio ya kimuziki bila kuyajua.
Kiba ana wimbo mmoja tu tangu arudi tena kwenye muziki, tena baada ya kutulia kwa miaka mitatu na nusu. Ukizungumzia past Kiba yuko vizuri zaidi ya wanabongo flava's wote.
Ova
Bao!?be clear!ha ha ha!
hii mitandao hata hakuna yenye unafuu maana kila moja ina majanga yake
Mi nalifahamu bao la kete!!mbona iko clear? wewe unajua bao gani?
Nakuambia kila mtu analalamika,hadi voda nao sometimes
Tutaiandikia dessertation usijali!Kiba hana wimbo mmoja kijana hayo ni matusi makubwa sana kwa kiba ,jobs ana nyimbo nyingi tena nzuri kuliko huu wimbo unaonekana ni wa ajabu sana kitu ambacho siyo kweli mkuu. Hivi kwanini hutaki kuelew soma mabandiko yangu ukiwa umetulia sisi tunajua alikiba alisimama mziki kwa kuwa alifunikwa na gemu ilikuwa tight sana siyo eti mipango mkuu... sasa wewe unaleta habari as if kiba ni underground ndio.ametoka ili ashindane na domo .... Hukuna any evidence inayoeleza kuwa why kiba was silient only that sasa wewe hiZo hoja unatoa wapi?mkuu?
##Wewe ndio ulisema kiba hasindani na diamond kwa kuwa tu alimfundisha ndio maana nikwambia kumfundisha siyo kigezo cha yeye kuwa upstream than diamond ....ndio maana nikatoa ule mafano sasa kama unaona wewe uko correct kwenye statement yako afu mimi niko wrong nimekujibu out of you justifications basi una matatizo ......
Lastly it seems as trophy hutolewa tu kwa yeyote bila any eligibility for you kweli ? Unaweza kusema trophy zinatolewa tu kihivyo ... Hata product za China zina specific quality mkuu... Kila msanii mkubwa anatamani tuzo mkuu.
Mi nalifahamu bao la kete!!