unafkiii tu
io ni mipango mikakat ya mawingu fm ya kumpoteza mr.diamond! wamefeli
sawa dada tumekuskia
vp uko kwenye menstruation?
Namtania nifah,bt guess itakua video kali coz maudhui yake yako poa,jamaa photogenic sio mpaka afe tu ndo tumwagie sifa
Hahahaaa halafu sikufikiria hili kabisa!Mimi niliconcentrate kwenye neno gold tu!
nifah bwana nimetoa nimepigiwa simu na wamtwara bwana
leo bwana nangwandwa sijaona pale mtwara kwenye tamasha la tigo bas baba johhhhnnn adam mchomvu akamtambulisho baba ubaya bwana watu hatumtakiiiii tunamtaka kibaaaaaaaaaa
akasema duuuhhh hadi mtwara kuna upinzani ngoja nikarushe xxl
ni shhhhhiiiiidddddaaahhhhhh!!!@atoto@etal
Ilikua lini kwani?
Show ilikua ya Juzi Majamaa ya Barick Gold yalimfata king S.A na Jet yakamperka Shy town akafanya yake then Yakamrdsha
nifah bwana nimetoa nimepigiwa simu na wamtwara bwana
leo bwana nangwandwa sijaona pale mtwara kwenye tamasha la tigo bas baba johhhhnnn adam mchomvu akamtambulisho baba ubaya bwana watu hatumtakiiiii tunamtaka kibaaaaaaaaaa
akasema duuuhhh hadi mtwara kuna upinzani ngoja nikarushe xxl
ni shhhhhiiiiidddddaaahhhhhh!!!@atoto@etal
Aisee!Alafu wanasema eti king hafanyi show?Na akifanya kiingilio ni elfu 5!!
Watu wana wivu sana,ila Kiba naye kazidi upole.
Anafanya vizuri kukaa kimya
Akiwajibu mibichwa yao itavimba
Anamuonekano Wa Kistar...Star Haswa
He Deserve 2 B My King
Long Live King Kibaaaaaaaaaaaaaaa............!
Ahsante Jigo
Duh kwani na baba ubaya alikuwepo kwenye hilo tamasha la tigo?
Btw, kiukweli Kiba anapendwa sana kazi kwake tu kujitendea haki
Jamani ankal nimekumiss sana,jana sijakuona kabisa kumbe ulikua unakula nyama choma?
Tamashani kulibamba kinoma, watoto wanameremeta kama mamtoni, na ningumu kujuwa yupi wa getikali yupi changu.
Le Mutuz hawezi kosekana pande hizo zenye wabebez wakarez
Lemutuz ndio nani