Anadance uku anatazama dansa mwengne anafanya nn
Nikuulize wewe mkuu..manake wewe ndio shabiki mabumunda
Aiachie tuu maana hata lile taputapu lililotolewa juzi limeshabuma sisikii hata watoto wakiimba wala kuchezwa redioni wala kwenye TVs station
Mm huwaga na f**ck wauza mabumunda kama ww sa nauliza unajiuza Tsh ngapi per goal ?
Hahahahah....kumbe mnashabikia tabasamu na sio muziki...mashabiki mabumunda...mandazi square
Wewe mjinga nilianza kumpenda Kiba kabla sijamjua,wewe nikishabikia tabasamu lake inakuuma nini?
Kwani unadhani wanawake wote wanaoenda uwanjani kutazama mpira ni wote wanaipenda mpira?
Jipange wewe....
Hahhahahahah kumbe kujiongelesha kote kule, shda yake ni hyo tu! Angesema tu straight, mbona sisi huku waelewa. .....
Never...mkuu unajisikiaje kuwa shabiki hopeless kiasi hicho...unashabikia tabasamu kama mwenzako nifah
Hhahaahha...au wewe unapenda uwe maandazi?
Kweli wewe unamjua sana,alafu kuna jamaa nimemfollow insta hua anapost picha kama zako sijui ni wewe?....lol
Tuachane na hayo.
Huyu kilaza sijui tufanyeje atemwe
Umapanic braza.......tulia tuliza akili.....inaonekana mwanamuziki wenu looser hua anawapumulia sana
Una kichefu chefu...una mimba binti?
Shabikia wanamuziki ambao afrika inatambua uwepo wao...sio loosers
Umepanic binti
Inaonekana una mimba changa
Katafute ndimu ujikamulie
Point is ....kwa definition ya kistaarabu watu wa aina yako ni mashabiki hopelesss...a.k.a mashabiki mandazi
mm nashabikia mziki mzuri ambao naupata kwa kiba tu hapa Tz
Kama kujulikana kiba mbna anajulikana Africa Sana au umeanza kushabikia mziki baada ya kupata android ya wizi ?
Jiangalie huku utabakwa ukiwa umevaa Pichu
Nimeckia Tar 20 kutoka kwa mtu wa karibu
Wewe una utindio wa ubongo sio bure,umekazania mimba,mimba!
Wewe ulitokana na nini?
Sio bure nahisi ulitotolewa kama kuku wewe.
So what?
Kule twitter niliwahi kumuask akasema atalifanyia kazi
Mi nalia na Bei tu ? Unipe huduma
Hhaahahahahahahahahah
Hhahaahahahahahahahah
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Eti kibla nafahamika Afrika....Huu utani mwingine muwe mnaach jamani
Kama afrika ni kigoma basi hapo sawa...kiba kachukua tuzo zote za kigomaaaa
Phheheeeeeeewwwwwww