Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Anadance uku anatazama dansa mwengne anafanya nn

Kweli wewe unamjua sana,alafu kuna jamaa nimemfollow insta hua anapost picha kama zako sijui ni wewe?....lol
Tuachane na hayo.
Huyu kilaza sijui tufanyeje atemwe
 
Hahahahah....kumbe mnashabikia tabasamu na sio muziki...mashabiki mabumunda...mandazi square

Wewe mjinga nilianza kumpenda Kiba kabla sijamjua,wewe nikishabikia tabasamu lake inakuuma nini?
Kwani unadhani wanawake wote wanaoenda uwanjani kutazama mpira ni wote wanaopenda mpira?
Jipange wewe....
 
Wewe mjinga nilianza kumpenda Kiba kabla sijamjua,wewe nikishabikia tabasamu lake inakuuma nini?
Kwani unadhani wanawake wote wanaoenda uwanjani kutazama mpira ni wote wanaipenda mpira?
Jipange wewe....

Umepanic binti
Inaonekana una mimba changa
Katafute ndimu ujikamulie
Point is ....kwa definition ya kistaarabu watu wa aina yako ni mashabiki hopelesss...a.k.a mashabiki mandazi
 
Hahhahahahah kumbe kujiongelesha kote kule, shda yake ni hyo tu! Angesema tu straight, mbona sisi huku waelewa. .....

Wamejaa wengi sana humu wanaotaka kuzibuliwa exaust tena wengine zina sigida.
 
Never...mkuu unajisikiaje kuwa shabiki hopeless kiasi hicho...unashabikia tabasamu kama mwenzako nifah

mm nashabikia mziki mzuri ambao naupata kwa kiba tu hapa Tz

Kama kujulikana kiba mbna anajulikana Africa Sana au umeanza kushabikia mziki baada ya kupata android ya wizi ?

Jiangalie huku utabakwa ukiwa umevaa Pichu🏃🏃🏃🏃🏃
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe unamjua sana,alafu kuna jamaa nimemfollow insta hua anapost picha kama zako sijui ni wewe?....lol
Tuachane na hayo.
Huyu kilaza sijui tufanyeje atemwe

Kule twitter niliwahi kumuask akasema atalifanyia kazi
 
Una kichefu chefu...una mimba binti?
Shabikia wanamuziki ambao afrika inatambua uwepo wao...sio loosers

Umepanic binti
Inaonekana una mimba changa
Katafute ndimu ujikamulie
Point is ....kwa definition ya kistaarabu watu wa aina yako ni mashabiki hopelesss...a.k.a mashabiki mandazi

Wewe una utindio wa ubongo sio bure,umekazania mimba,mimba!
Wewe ulitokana na nini?
Sio bure nahisi ulitotolewa kama kuku wewe.
 
mm nashabikia mziki mzuri ambao naupata kwa kiba tu hapa Tz

Kama kujulikana kiba mbna anajulikana Africa Sana au umeanza kushabikia mziki baada ya kupata android ya wizi ?

Jiangalie huku utabakwa ukiwa umevaa Pichu

Hhaahahahahahahahahah

Hhahaahahahahahahahah

Hahahahahahahahahahahahahahahahahahah

Eti kibla nafahamika Afrika....Huu utani mwingine muwe mnaach jamani

Kama afrika ni kigoma basi hapo sawa...kiba kachukua tuzo zote za kigomaaaa

Phheheeeeeeewwwwwww
 
Wewe una utindio wa ubongo sio bure,umekazania mimba,mimba!
Wewe ulitokana na nini?
Sio bure nahisi ulitotolewa kama kuku wewe.

Si umesema una kichefuchefu wewe
Kichefuchefu si ni dalili ya mimba changa?
Kosa langu ni lipi hapo shabiki mabumunda
 
Hhaahahahahahahahahah

Hhahaahahahahahahahah

Hahahahahahahahahahahahahahahahahahah

Eti kibla nafahamika Afrika....Huu utani mwingine muwe mnaach jamani

Kama afrika ni kigoma basi hapo sawa...kiba kachukua tuzo zote za kigomaaaa

Phheheeeeeeewwwwwww

Ebu nenda Google then Kaandike hivi 👉 alikiba's autobiography alafu sachi

Utaona kua kiba n wa kigoma au Dunia

Hivi umeanza kuujua mziki kuanzia lini
 
Back
Top Bottom