Ali Kiba Fans' Special Thread...


Hahahaaaa mimi sina muda naye tena nimegundua ni kilaza fulani hivi.
 
dawa yake kumtimua tuu inatosha sana

Ni mtu tulikuwa naye hapa akitumia ID nyingine, akiwa kama mwenzetu. Sasa ameamua kutumia ID nyingine ili kutuvuruga akili zetu. Alishawahi kuja na jina jingine hapa akatukanana sana na Matola. Shangaa amezuka ghafla na kutuchokoza, ila nadhani dawa yake ni kumpuuza tu ili maisha mengine yaendelee.
Ova
 
Last edited by a moderator:

Jiwe lisilo na shukrani huanguka! By David Adeleke (Davido) Dec 10, 2014
Ova
 

nifah ukimuona bimkubwa yule we timua tuuu
hatukutakii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…