Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

dawa yake kumfukuza tu huyu
hana lolote anajiona wa maana kumbe hadhi yake ya muwa humezwi ht siku moja anaishia kutafuna tu
mara sie wavivu,roho korosho,loosers mabumunda,maandazi
sasa ye anakuja kwa wavivu bimkubwa yule kufanya nini
dawa ni kumfukuza tuuu
hatumtakiiiiiiiiii

Hahahaaaa mimi sina muda naye tena nimegundua ni kilaza fulani hivi.
 
dawa yake kumtimua tuu inatosha sana

Ni mtu tulikuwa naye hapa akitumia ID nyingine, akiwa kama mwenzetu. Sasa ameamua kutumia ID nyingine ili kutuvuruga akili zetu. Alishawahi kuja na jina jingine hapa akatukanana sana na Matola. Shangaa amezuka ghafla na kutuchokoza, ila nadhani dawa yake ni kumpuuza tu ili maisha mengine yaendelee.
Ova
 
Last edited by a moderator:
kiba.JPG
Location: Kiboko Yangu video
Ova
 
kiba_diamond.jpg
Jiwe lisilo na shukrani huanguka! By David Adeleke (Davido) Dec 10, 2014
Ova
 
Ni mtu tulikuwa naye hapa akitumia ID nyingine, akiwa kama mwenzetu. Sasa ameamua kutumia ID nyingine ili kutuvuruga akili zetu. Alishawahi kuja na jina jingine hapa akatukanana sana na Matola. Shangaa amezuka ghafla na kutuchokoza, ila nadhani dawa yake ni kumpuuza tu ili maisha mengine yaendelee.
Ova

nifah ukimuona bimkubwa yule we timua tuuu
hatukutakii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom