Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ujue hua nashangaa watu wanavyosema Kiba mbaya,ana roho mbaya.
Sijawahi kusikia kagombana na mtu yeyote yule katika industry ya muziki.
Kawasaidia underground wengi sana,ndomo sijui kawahi kumsaidia nani....labda shetah...lol
 
Shetta alitoka tangu alipoimba na Belle 9 na Dully Sykes, huyo ndomo sijui alimkuta Shetta tayari akiwa barabarani. Kiba kawatoa wengi sana hadi Dimpoz, na bado akaachia chance kwa kupumzika miaka mitatu ili wengine wachomoze. Roho mbaya iko wapi hapo?
Ova
 
Hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa,unamkumbuka toxic star alivyomtoa?
Huyo dimpoz ndio hata sitaki kumsikia kabisa.
 
Kiroho safi niliamuwa nirudi jamvini kesho maana simu imeisha chaji, ila kwa hizi fact unazozimwaga hapa jamvini imebidi ninunuwe power bank ya Pukudu hapa Sinza usiku huu ili niendelee kuwa online, maana nilishaamuwa kudisconnect internet ili chaji iliyobaki nitumie kwa phone call tu.

Tupo pamoja na nipo sana hapa leo mpaka usiku mnene.
 
duuuhh! Matola ni kula bata mpaka kuku waone wivu, haya bwana tumia ujana
 
Last edited by a moderator:

Ebwana eeh! Unajua tulikuwa kimya kidogo na huu uzi wetu, tukawa tunapiga zile ndogo ndogo, lakini nikaona hata wasio na midomo nao wanaongea. Nikaona hata lazima niseme jambo ili kuleta heshima ya thread.
Ova
 
Hahahaaa,jamani nilikua nacheka!Basi tu,nae akawa mjanja sasa!

Hahahhaahaa... Dah! Hizi sifa ni zangu kumbe! Asante rafiki yangu, mrembo wangu, chotara wangu, baby wangu nifah
Ova
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa,unamkumbuka toxic star alivyomtoa?
Huyo dimpoz ndio hata sitaki kumsikia kabisa.

Wengi kawatoa tena kiroho safi kabisa, kama kwenye Nainai kaweka mpaka zile silaha zake. Sauti za juu, bado useme anabana? Wamesahau kama yeye kauiba wimbo aliopewa demo ili aingize sauti kwa kushirikishwa? Sisi tunakumbuka Number ilikotoka, verse yake ikageuka wimbo, tena bila aibu Ukawa wimbo wa dakika mbili tu.
Ova
 
Kuna siku yule dada alilia masikini, sijui walimlipa shilingi ngapi!
 
Kuna siku yule dada alilia masikini, sijui walimlipa shilingi ngapi!

Wamlipe nini? Wamempotezea tu. Tena kwenye ule wimbo aliimba vizuri sana, nilisikia demo yake. Halafu waliwahi kusota wote na Nassib wakati wakihangaika kutoka.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…