Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Yeah! Kwa sababu alizungumza ukweli juu ya asiye na shukrani. Alitolewa kwa ufadhili wa Papaa Misifa, akagombana naye, alirekodi kwa ruhusa ya Ali Kiba, akagombana naye, alirekodi kwa beat ya Bob Junior, akagombana naye, alitoka kwa video ya Adam Juma, akagombana naye, alitengenezewa hit ya Mawazo iliyompa show ya BBA kwa mara ya kwanza, Maneke, naye kagombana naye. List ni ndefu acha niishie hapo.
Ova
Ujue hua nashangaa watu wanavyosema Kiba mbaya,ana roho mbaya.
Sijawahi kusikia kagombana na mtu yeyote yule katika industry ya muziki.
Kawasaidia underground wengi sana,ndomo sijui kawahi kumsaidia nani....labda shetah...lol