Ali Kiba Fans' Special Thread...

this is a gud news to hear kwakweli, afanye yake tu sasa, tupo kwaajili ya kumpa sapport, acha atupe raha
 
sipatii picha huu uwanja utakavyofuka moshi hiyo kesho
team domo mnakaribishwa hiyo kesho, tumbless king Wetu na kuiapisha Rasmi Hii Video
Ahsante Jigo
 
yani ni shida leo mpaka mdogo wangu akasema hv si tungemnunulia kiwanja tu
yaani hapa tufanye iishe
 
Hivi ndo vituo vitakavyo ionesha video ya Mwana hiyo kesho kwa Mara ya kwanza.

1.Clouds TV_Tanganyika.
2.NTV _Uganda.
3.Citizen TV_Kenya,Congo.
4.Sound city_Nigeria, Ghana,Ethiopia, Cameroon na Ethiopia.
5.One music TV_UK,USA.
then after that vituo vingine kama Urban trace,Chanel O ,MTV na local stations zitafuatia.

video haijafanywa Nchini wala Hapa Africa

pia usisahau kuifuata akaunti ya alli kiba kule YouTube.

Deo Corleone
Namtumbo, Ruvuma
Tanganyika.
 
sipatii picha huu uwanja utakavyofuka moshi hiyo kesho
team domo mnakaribishwa hiyo kesho, tumbless king Wetu na kuiapisha Rasmi Hii Video
Ahsante Jigo

team domo?? I assume you mean platnumz fans ( correct me if am wrong )...from my point of view unalazimisha washabiki wa diamond wachukie hii video which is not healthy kibiashara ya ali kiba...hebu tuacheni haya mambo...hakuna haja ya kuchochea hii bif hata haina maana..bado watu wa diamond wanaweza kuikubali hii video pia, naww pia kwakua shabiki wa ally sio lazima umchukie platnumz ( just sayin )...! nimepata sneak peek ya video kwa millard ayo Tv ipo youtube...ni nzuri
 
sipatii picha huu uwanja utakavyofuka moshi hiyo kesho
team domo mnakaribishwa hiyo kesho, tumbless king Wetu na kuiapisha Rasmi Hii Video
Ahsante Jigo

Wamekuelewa...lazima wataitafuta!
 
Sijakupata point yako mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…