Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

King Kiba hana tena tatizo la Management kwa sasa, ndio maana mpaka sasa hakuna mahali kakosea toka aamue kurejea tena kwenye muziki mwezi July mwaka huu.
Kila kitu kinafanyika kwenye ratiba zilizopangwa, alisema video itapigwa November na itatoka December na imekuwa hivyo, na sasa ratiba yake imejaa shows kama alivyosema Deo katika comment yake.
Kwa King Kiba kila kitu sasa ni next level, haina kukurupuka wala kufanya mambo kwa kufuata makelele ya watu wanayotaka kushindana naye. Watamwelewa tu soon.
Ova


this is a gud news to hear kwakweli, afanye yake tu sasa, tupo kwaajili ya kumpa sapport, acha atupe raha
 
1418896620203.jpg
C.c
Mwuza sura nifah Matola Mdakuizi geniveros atoto abou Daydou
 
Last edited by a moderator:
sipatii picha huu uwanja utakavyofuka moshi hiyo kesho
team domo mnakaribishwa hiyo kesho, tumbless king Wetu na kuiapisha Rasmi Hii Video
Ahsante Jigo
 
Adoado msitafute misifa kuwafurahisha waswahili gharama kubwa baada ya harusi mnawaacha wanandoa na ufukara usiohata na kipimo.

Nimeyaona haya kwa mtu wangu mmoja, leo anayakumbuka yale mamilioni aliyoyateketeza kwa usiku mmoja amebaki na madeni tu na account haina hata mia na hata penzi lao limeshachuja, maana kutoka kwenye wedding ya kifahari halafu mnaanza maisha ya msoto demu lazima achanganyikiwe.

yani ni shida leo mpaka mdogo wangu akasema hv si tungemnunulia kiwanja tu
yaani hapa tufanye iishe
 
Hivi ndo vituo vitakavyo ionesha video ya Mwana hiyo kesho kwa Mara ya kwanza.

1.Clouds TV_Tanganyika.
2.NTV _Uganda.
3.Citizen TV_Kenya,Congo.
4.Sound city_Nigeria, Ghana,Ethiopia, Cameroon na Ethiopia.
5.One music TV_UK,USA.
then after that vituo vingine kama Urban trace,Chanel O ,MTV na local stations zitafuatia.

video haijafanywa Nchini wala Hapa Africa


pia usisahau kuifuata akaunti ya alli kiba kule YouTube.

Deo Corleone
Namtumbo, Ruvuma
Tanganyika.
 
sipatii picha huu uwanja utakavyofuka moshi hiyo kesho
team domo mnakaribishwa hiyo kesho, tumbless king Wetu na kuiapisha Rasmi Hii Video
Ahsante Jigo

team domo?? I assume you mean platnumz fans ( correct me if am wrong )...from my point of view unalazimisha washabiki wa diamond wachukie hii video which is not healthy kibiashara ya ali kiba...hebu tuacheni haya mambo...hakuna haja ya kuchochea hii bif hata haina maana..bado watu wa diamond wanaweza kuikubali hii video pia, naww pia kwakua shabiki wa ally sio lazima umchukie platnumz ( just sayin )...! nimepata sneak peek ya video kwa millard ayo Tv ipo youtube...ni nzuri
 
sipatii picha huu uwanja utakavyofuka moshi hiyo kesho
team domo mnakaribishwa hiyo kesho, tumbless king Wetu na kuiapisha Rasmi Hii Video
Ahsante Jigo

Wamekuelewa...lazima wataitafuta!
 
Matumbo Wewe ni kati ya wakongwe humu sasa unapopotosha na kuleta ushabiki unafanya warumi aonekane bora humu celebrity forum

Ally alikua na orijino comedy kwenye show ya acccacia kule mgodini bulyanhulu,na hata Abdul atakapoimbia tena viti kama unavyosema hapo tar 20huko mbele,yeye atakua jembe ni jbe mwanza kwenye show ya red cup pamoja na joh makini.

Tar 31 atakua Mombasa na at,shaa,redsun na brick n lace.

Chuki zako zisizo na sababu kwa kiba usiwe sababu ya kudanganya watu humu

Sijakupata point yako mkuu..
 
Back
Top Bottom