Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
King Kiba hana tena tatizo la Management kwa sasa, ndio maana mpaka sasa hakuna mahali kakosea toka aamue kurejea tena kwenye muziki mwezi July mwaka huu.
Kila kitu kinafanyika kwenye ratiba zilizopangwa, alisema video itapigwa November na itatoka December na imekuwa hivyo, na sasa ratiba yake imejaa shows kama alivyosema Deo katika comment yake.
Kwa King Kiba kila kitu sasa ni next level, haina kukurupuka wala kufanya mambo kwa kufuata makelele ya watu wanayotaka kushindana naye. Watamwelewa tu soon.
Ova
this is a gud news to hear kwakweli, afanye yake tu sasa, tupo kwaajili ya kumpa sapport, acha atupe raha
