Ali Kiba Fans' Special Thread...


Haswaa! Umeshusha maoni kama vile ulikuwa kichwani mwangu. Nice.
Ova
 
Hahaaaaa,si unajua ukikaa karibu na uaridi nawe lazima unukie?
Ndo hivi sasa na mie nanukia....lol

Hahahaaaa! Sasa ole wao wanaokaa karibu na shimo la choo. Nimecheka sana!
Ova
 
Napenda muziki,napenda bongoflava na dance,nabarikiwa na uimbaji,sauti,mtindo na mashairi ya Ally Kiba!To me he is the best male artist in Tanzania!YaniMdakuzi umejibu swali la ule uzi kifasaha kuliko nilivotarajia!!Ahsanteee
 
Mtoa mada try to help me understand,nimeona kwenye blog fulani ya Mange anasema USA video ya mwana haina imekuwa blocked kwa issue za copyright,hii imekaaje??
 
Jamani Malaw naye no mkali vp yuko wap binafsi namkubali sana sambamba na jembe la bongo flava Alikiba
 
Kama unampenda Nasib usimponde Ally. Kwan ni vitu viwili tofauti. Ally animba sebene na Nassib anaimba afro pop. Hata masoko yao kimziki pia ntofauti. Natusiwe na roho ya kihasidi jamani.....Kwann nasibu ale yy tu? Awaachie wenzie Hata makapi sio mbaya. Kenya yy,Tz yy,Uganda yy,South Africa yy,Rwanda yy,Ch.o yy,Mtv yy.....yan kla kitu yyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Hebu kumbuka fadhila za walio kutangulia bana.
 
Sielewi ni roho kwatuuuuu yaani kwa siku naangalia Mara 6 huu wimbo ni mauno madancer ni shegedeehh sipati picha kweli ujana giza na nuru
 
Sielewi ni roho kwatuuuuu yaani kwa siku naangalia Mara 6 huu wimbo ni mauno madancer ni shegedeehh sipati picha kweli ujana giza na nuru

Umenikumbusha ngoja niende na mimi maana leo nimeshaangalia mara 5 tu.
 
VIEWS 70K wimbo una Siku Tatu..... Diamond alikuwa na Views 122K ndani ya Masaa 22 tu...
 

Attachments

  • 1419099602391.jpg
    59.2 KB · Views: 153
  • 1419099803427.jpg
    28.9 KB · Views: 132
Hapa tunamwongelea Mfalme Kiba,mambo ya comparison sijui nani alipata view ngap ndani ya muda gani haihuuu!!Kiba katoa video kali sana,ina standard nzuri na quality matata!!Big up to him...
 
Mtoa mada try to help me understand,nimeona kwenye blog fulani ya Mange anasema USA video ya mwana haina imekuwa blocked kwa issue za copyright,hii imekaaje??

Mpaka sasa siamini hiyo kitu, ila nafuatilia. Lakini sidhani kama ingeendele kuachwa Youtube. Haijawa blocked video ya wimbo wa Njoo wa Shaa ameimba na Redsan wa Kenya ulioiga video This Time ya Melanie Fiona alioimba na J.Cole, ndio wa block Mwana haina matukio unaweza kusema ni ya kipekee, hadi kuwa ya mtu fulani.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…