Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nifah and Ms.Licoln cc wote ni kiba fan so amani itawyale juu yetu

Yani mimi hapa nawapenda mashabiki wa Kiba sanaa!!was Just making things clearly kama mtu ana kinyongo na mie hayo sasa tatizo lake!!Hapa katuunganisha Kiba sasa kama mambo madogo mtu unayaweza kuyakuza kama mlima kilimanjaro it depends on ur judgement!!Mimi nlifatwa pm kusutwa kisa mahusiano ya watu wengine ambayo hata hayanisaidii!!Kisa I protruded my nose!!Mie I thought we were one big family teasing each other ilikua sio ajabu....!nmefungukia la pm limenidondoka!!
 
Nifah and Ms.Licoln cc wote ni kiba fan so amani itawale juu yetu

Hakuna uvunjifu wowote ule wa amani katika hii thread baina yetu Kiba fans,zilikua missunderstanding kidogo tu.
Kua na amani.
 
mimi love wewe
 
Ulivyokua unaandika hivi ulikua umeshasoma nilichokujibu au bado?
Nani aliyewahi kukuambia ana kinyongo na wewe?
 
Mimi ni COYG...hao YNWA wa nini mimi?
Na leo tutawachapa vibaya sana.

Yani hapa pressure ilishanipanda!!nikajua kama nilivosasambuliwa PM ndo umekuja mwenyewe!uwiiii!Haya haya...much luv sikukuelewa!!nimefunguka coz I had to!!siwez kukeep vitu mie,ila mummy usiwe unachukulia vitu personal!
 
Hunijui Ms.Lincoln mimi siko hivyo kabisa,kwanza nilivyo na hasira siwezi kuweka jambo moyoni.
 
Last edited by a moderator:

That's the spirit, naachaje kukupenda sasa😘😘😘
 
Last edited by a moderator:
Hii thread ya Kiba huwa inanipa amani hasa ninapokuwa sina amani naipenda saana hii thread kuliko nchi yangu ya Tanzania
 
Jamani jana kuna mtu kanichekesha humu JF...yaani nacheka kila nikikumbuka alivyosema yuko zake chumbani wamejifungia na mkewe wanajifunza kucheza mwana!...lol sajosojo
 
Last edited by a moderator:
Jamani jana kuna mtu kanichekesha humu JF...yaani nacheka kila nikikumbuka alivyosema yuko zake chumbani wamejifungia na mkewe wanajifunza kucheza mwana!...lol sajosojo

mie now nshakuwa mtaalamu naserebkaje!!! hahaaaa umenikumbusha ngoja nirudi utube kwanza
 
Last edited by a moderator:
mie now nshakuwa mtaalamu naserebkaje!!! hahaaaa umenikumbusha ngoja nirudi utube kwanza

Jamani mimi pale kwa kuvunja miguu pananitesaje?...
Kwingine niko vizuri sana
Heheeeeer,mwenzio nikiamka naamkia huko, POP IT IN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…