Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jana Ms.Lincoln alinichekesha eti alicheza hadi shingo ikawa inauma!
Hii video ya Kiba ni kama audio ya mwana imetoka upya....tamuje sasa?
Ogopa sana!Video imewafanya watu vibaya,wanaiponda afu wanarudi kuiangalia tena!!
 
Last edited by a moderator:
Alichofanya King Kiba na kuufanya muziki wake ujadiliwe, sio matendo yake machafu yajadiliwe. Ndio tofauti ya mwanamuziki na mganga njaa.
Ova
Unajua mkiwapiga shule kama vile wewe na@msolopagazi huwa wanajifanya hawaelewi lakini wanamkubali Kiba...wao wanamtaka mwana,wamngojee anakuja sijui lini!
 
Eti ooh mwana hajaonekana,hajui kufanya video na blah blah kibao.
Hivi ile video ya Mac.Mugga aliyofanyia sauzi enzi zile alimuiga nani?
Huyo ndomo wao si alikua anakunywa gongo tandale enzi hizo?
Wamuache Kiba afanye yake sisi wapenzi wake tunamuelewa basi.

wanahahaaaa kama mbuzi alosahau zizi, Kibaaaaaaaa pop it in....
 
Ha ha ha!!kila nikisikia watu wanamtaka mwana nachekaje sasa!!ha ha ha!!kama wanamtaka mwana wakazae 'Mwananyamala' maana mimba ikifikisha miezi tisa shurti mwana aonekane!!

kama wanamtaka mwana ni cmpo as it iz, mkali wao ashawapa idea wavivu wa kufikiri,sasa kazi kwao watengeneze movie, wamuache kiba afanye mambo ya ukweli km haya, hii ndio maana ya msanii anajua kucheza na mind zetu, ukiwaza hv anatoka vileeee, kiba konyo kweli, watu walimsubiri airpot yeye katokea bandarini ambako uwezo wao wa kufikiria haufiki kabisaaa, chezea king wewe utadeki bahari
 
Alichofanya King Kiba na kuufanya muziki wake ujadiliwe, sio matendo yake machafu yajadiliwe. Ndio tofauti ya mwanamuziki na mganga njaa.
Ova

sasaje!! na bado nakuambia, hapa watu wanatamani wajitangazie ushoga ili upepo wa mwana ubadilike ila ndio hivyo tena kiba ashafanya yake na yanaongea yenyewe, ujue ukiwa slow leaner unaweza ukadhani kakurupuka ila kwa tunaomuelewa yaani kiba ni shida, anajua mpaka anakera, yaani mm mpaka nahisi kuwehuka kwa furaha ninazofill
 
Ila kusema ukweli kiba katokelezea utamu kweli kene hii video,nimependa dressing yake na the way alivyokuwa akitembea na hasa baada ya kuwekwa akitembea kwa minyato mara baada ya kuvaa duu mi hoii

Uwiiiii,usinikumbushe hapo anapoondoka maana nitawakimbia sasa hivi hapa.....
Nimepapenda hadi naumwa
 
we endelea tu mm napumua kwanza nipafanye kwa kuwaza co kwa vitendo kwanza, maana duuuh ila napapenda aseee, hebu ngoja jioni nitajaribu

Haha haaaa,umenikumbusha aladji ilivyotoka mama yangu alikua anaipenda ila hawezi kucheza mbele yetu,tukitoka tu anaserebukaje?
Uwiiiiiiii,siku tuliyomkamata nilicheka kidogo nizimie!
 
ndio huyo nilikuwa namuongelea, yaani aliidadavua mpaka raha yaani, sio cri ule uzi unatakiwa uunganishwe hapa uungane na nondo za humu

Kabisa,kabisa!Kiba fans ni ma GT.Sio wale wacheza vigodoro waliojileta juzi hapa.
 
hahaaaa!! kiba anajua kutarget na anajua kuwa vitu vyake vinadumu so walaa hakuwa na papara, we kitu bado kiko first na hauchuji huu nakwambia, mpaka mwakani ni mwana tu, mdogo wangu leo kauckiliza mpaka nikamshangaa ni kuurudia tu, nikamuuliza y? akanijibu 'dada huu wimbo kila cku ni mpya kwangu km ndio umetoka leo' nikafurahiiiiii

Nimempendaje jamani?Safi sana
 
Back
Top Bottom