Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nimeiona mine nlikua busy na harusi ya sisy ndo imeisha jana hapa sh.kumi sina

Haha haaa,harusi ya mamilioni asubuhi watu hata kitafunwa hakuna!
Mimi sitaki hayo,kama pesa zipo sawa,ila sio pesa hazipo halafu mbwembwe kibao.....poleeee geniveros Matola alikuambia haya lakini
 
Last edited by a moderator:
Kabisa,kabisa!Kiba fans ni ma GT.Sio wale wacheza vigodoro waliojileta juzi hapa.

hapa hata iweje hata kwa bandle la kukopa lazima waje, hiyo ni mwana tu na ikitoka nyingine je!!! uwiii joto hasiraaaaaaa
 
Nimempendaje jamani?Safi sana

anampenda kiba huyo, ilibidi nimuwekee bundle la bila kikomo aenjoy video, basi kaangalia ucku kucha, jana acha aanze manjonjo ya kudance anapatiaje sasa, ikabidi na mie nianze mazoezi ila kufikia pale pa kuvunja miguu nikaona tang'oa meno nikaacha kwanza, jioni naanza tena mpaka nipaweze sasa ndani itakuwa ni vurugu mechi mtu na mdogo wake, hahaaa cpati picha
 
hapa hata iweje hata kwa bandle la kukopa lazima waje, hiyo ni mwana tu na ikitoka nyingine je!!! uwiii joto hasiraaaaaaa

Usinikumbushe neno bundle maana juzi kidogo watu wanitoe roho hapa kwa roho zao mbaya.Ajabu hata sikushinda mimi,ningeshinda ningesemwaje?
 
ile bundle iliumiza watu hujui tu, watu wanajichetua tu ila walilitamani, weeee zawadi ni zawadi, mie hata niwe na bundle la 20000 ukiniwekea la 500 nalivalue kweli maana it shows gesture, kutoa sio utajiri
 
anampenda kiba huyo, ilibidi nimuwekee bundle la bila kikomo aenjoy video, basi kaangalia ucku kucha, jana acha aanze manjonjo ya kudance anapatiaje sasa, ikabidi na mie nianze mazoezi ila kufikia pale pa kuvunja miguu nikaona tang'oa meno nikaacha kwanza, jioni naanza tena mpaka nipaweze sasa ndani itakuwa ni vurugu mechi mtu na mdogo wake, hahaaa cpati picha

Uwiiiii,sikubali ngoja na mimi mdogo wangu aje...I wish kungekua na battle la dance ya mwana mngekoma wewe na mdogo wako...tungewafunikaje?...lol
POP IT IN,KIBA FOR REAL.
 
ile bundle iliumiza watu hujui tu, watu wanajichetua tu ila walilitamani, weeee zawadi ni zawadi, mie hata niwe na bundle la 20000 ukiniwekea la 500 nalivalue kweli maana it shows gesture, kutoa sio utajiri

Umeona mwaya eeh?kupewa zawadi sio kwamba wewe ni masikini,ni kuonesha upendo na kujali.
Na watakufa tu maana Matola kasema ikipita Christmas itakua balaa hapa.
 
Haha haaa,harusi ya mamilioni asubuhi watu hata kitafunwa hakuna!
Mimi sitaki hayo,kama pesa zipo sawa,ila sio pesa hazipo halafu mbwembwe kibao.....poleeee geniveros Matola alikuambia haya lakini

yaani hicho kitu i'll never do, unafurahisha watu alafu asubuhi unaamka na stress ziczo na msingi na mikopo juu, maana cha mcngi ni maisha yanayofuta baada ya hapo
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiii,sikubali ngoja na mimi mdogo wangu aje...I wish kungekua na battle la dance ya mwana mngekoma wewe na mdogo wako...tungewafunikaje?...lol
POP IT IN,KIBA FOR REAL.

hahaaa! nicngekubali yaani hapo jasho lingenitoka pipa zima, full kunyumbuka tu, jamani kiba weee utanivunja kiuno na shingo mwenzio
 
yaani hicho kitu i'll never do, unafurahisha watu alafu asubuhi unaamka na stress ziczo na msingi na mikopo juu, maana cha mcngi ni maisha yanayofuta baada ya hapo

Tena hiyo ndoa utaionaje chungu?
Kama ulizoea mbebez alikua anakutoa out na vijizawadi ndio kabisaa maana atakua kafulia hana hata sent.
Michepuko itaanzia hapo.
 
hahaaa! nicngekubali yaani hapo jasho lingenitoka pipa zima, full kunyumbuka tu, jamani kiba weee utanivunja kiuno na shingo mwenzio

Haha haaaa,pale pa kukunja mgongo na mikono kuichezesha inabidi uwe na salimia pembeni aisee...Kiba kaleta balaa jamani?
 
Umeona mwaya eeh?kupewa zawadi sio kwamba wewe ni masikini,ni kuonesha upendo na kujali.
Na watakufa tu maana Matola kasema ikipita Christmas itakua balaa hapa.

iliwaumaaaaaa wakaanza chokochoko ziczo na miguu wala kichwa, sie hayo yanatuhusu nn labda, hebu kwa rahaa zetu twajiachia na kiba wetu anayeumia roho anywe tu maji ashushie fundo alale(kistaarabu zaidi) hahahaaaaa
 
Hahaaaaa,juzi nimetukanwa hatari ninyi mlinikimbia,yaani kama niliweza kujikaza sijapata ban juzi sitokaa nipate tena.
Eti ninakaa hapa kuvizia mabundle ya bure!Jamani....
 
Tena hiyo ndoa utaionaje chungu?
Kama ulizoea mbebez alikua anakutoa out na vijizawadi ndio kabisaa maana atakua kafulia hana hata sent.
Michepuko itaanzia hapo.

yes mapenzi bila amani ya moyo hayaendi hata robo, yaani mnakuwa mnakufa huku mnaishi, shida yote ya nn! ifikie hatua watu wafanye yale yaliyo ndani ya uwezo jamani, hakuna kitu kzr km kujikubali kwa kile ulichonacho na unachokiweza na sio kufurahisha watu, watu wenyewe hawaridhiki hata uwajengee hekalu
 
Haha haaaa,pale pa kukunja mgongo na mikono kuichezesha inabidi uwe na salimia pembeni aisee...Kiba kaleta balaa jamani?

yaani km umetoka kushiba makande uwii huwezi hata kidogo, Ms.Lincoln vp shingo imepona?
kiba ananyumbuka jamani, kepesiiiiii, ckubali mpaka niwe mtaalamu hili ndio zoezi langu kila nikiamka, dogo atanikoma
 
Last edited by a moderator:
yes mapenzi bila amani ya moyo hayaendi hata robo, yaani mnakuwa mnakufa huku mnaishi, shida yote ya nn! ifikie hatua watu wafanye yale yaliyo ndani ya uwezo jamani, hakuna kitu kzr km kujikubali kwa kile ulichonacho na unachokiweza na sio kufurahisha watu, watu wenyewe hawaridhiki hata uwajengee hekalu

Heheeee mapenzi ya siku hizi watu wanajaribu aisee,hakuna uhakika.
Mtu unaweza kumfanyia makubwa na akakucheat bila aibu wala huruma!
 
Hivi atoto yule mdada mwenye suspender kwenye video ya Kiba hujampenda jamani?katisha sana pale stejini aisee
 
Last edited by a moderator:
mahaba ya kupitiliza ni shida sana, watu wanampenda kiba kupitiliza hata kasoro moja hawaoni, kanuni ni kwamba ukimpenda mke pia ujue na kumkosoa!

lakini hapa ukimkosoa kiba hata kwa uzuri unaonekana timu daimondo!
 
yaani km umetoka kushiba makande uwii huwezi hata kidogo, Ms.Lincoln vp shingo imepona?
kiba ananyumbuka jamani, kepesiiiiii, ckubali mpaka niwe mtaalamu hili ndio zoezi langu kila nikiamka, dogo atanikoma

Kaweza sana,yale mauno kuna wadada wamedata hadi wametoa proposal....uwiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom