Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Heheeee mapenzi ya siku hizi watu wanajaribu aisee,hakuna uhakika.
Mtu unaweza kumfanyia makubwa na akakucheat bila aibu wala huruma!

sasa hayo yote ya nini, yaani bora amani ya moyo na furaha mnayoipata baada ya hapo, lacvyo ni kukinga upepo tu
 
Hivi atoto yule mdada mwenye suspender kwenye video ya Kiba hujampenda jamani?katisha sana pale stejini aisee

eeeh umenikumbusha jamani, kepesii hako hadi raha, uh hebu ngoja nirudi tena, hiki kitu hata sikichoki
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaaa,yule dada ni hatareeee...
Hasa pale anavyocheza as if anapiga gitaa....ajajajajaaaaa katisha si kitoto.
 
khaaaah!!! watu mbona wamepanik sana jamani, sie twampenda sana kiba na tunajua tunachofanya tena kwa akili zetu timamuuu, kama kumkosoa tushakosoa sanaaa na ujumbe ashaupata na kamwe hatutoacha ila anapofanya vzr sie roho kwatuuu na tunaomuelewa walaa hatupi taabu, basi imebaki burudani tuu, wameelimishwa wee hawataki kuelewa tena kwa makusudi sasa mwataka nn tena?? hebu fanyeni yenu msilazimishe mambo bwana! POP IT IN.....
 
Eti tunasifia ujinga,Kiba tunamharibu maana tunampa pressure ya kumuiga ndomo.
Watuwache jamani,tumeshampenda basi,nini shida?
 
Haha haaa,harusi ya mamilioni asubuhi watu hata kitafunwa hakuna!
Mimi sitaki hayo,kama pesa zipo sawa,ila sio pesa hazipo halafu mbwembwe kibao.....poleeee geniveros Matola alikuambia haya lakini

alinambia sema si unajua tena kisu kimegusa mfupa
 
Last edited by a moderator:
Eti tunasifia ujinga,Kiba tunamharibu maana tunampa pressure ya kumuiga ndomo.
Watuwache jamani,tumeshampenda basi,nini shida?

ujue wanaumia maana walihisi kiba hana fans, sasa kuona twaenjoy muziki mzuri kwa mkali wao baasi wanaumia hatari, wao waseme wao ndio wanampa pressure mtu wao mpaka hata anashindwa pa kutokea anaishia kuhaha na kuharibu tu, sie hatulipwi ili tumshabikie kiba, twamshabikia kwasababu twapenda vitu vizuri(mziki mzuri) and its obvious utaupata kwa kiba tu.
 
Haya basi mkishamaliza kuimba na kucheza ngoma zenu za kitamaduni nendeni nyote mkafanye kazi kwa bidii...muache kucheza miziki na kula bata.......mkaijenge nchi yenu.
 
ujue wanaumia maana walihisi kiba hana fans, sasa kuona twaenjoy muziki mzuri kwa mkali wao baasi wanaumia hatari, wao waseme wao ndio wanampa pressure mtu wao mpaka hata anashindwa pa kutokea anaishia kuhaha na kuharibu tu, sie hatulipwi ili tumshabikie kiba, twamshabikia kwasababu twapenda vitu vizuri(mziki mzuri) and its obvious utaupata kwa kiba tu.

Hivi YouTube wamefika viewers wangapi hadi sasa?
Kiba anapendwa sana,hapa jamvini tu tukifanya hesabu tunawazidi wa ndomo.Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuacha kumpenda Kiba kijana mstaarabu.
 
imefika 90+, kuna mtu alisema ikifika laki anajinyonga, hahahaaaaa ajiandae tu sie twamuandalia big-g na mti wa mpapai wa kujinyongea kabisaaaaa(kiroho safiiii) chezea kiba wewe, wasojitambua ndio wanahahaaaa, wapi Viol
 
Last edited by a moderator:
imefika 90+, kuna mtu alisema ikifika laki anajinyonga, hahahaaaaa ajiandae tu sie twamuandalia big-g na mti wa mpapai wa kujinyongea kabisaaaaa(kiroho safiiii) chezea kiba wewe, wasojitambua ndio wanahahaaaa, wapi Viol

Mwenzio nimetoka kuiangalia tena sasa hivi.Basi kuna rafiki yangu kaniona nilivyokua naiangalia akaniambia kapenda pale anavyoondoka hatariiii....Uwiiiii Kiba kaweka pozi la kufa mtu pale.
Bado tu watakufa wengi maana ile video waliyosema imetoka kabla ina viewers laki 5 ije kua hii official?
 
wanahahaaaa hatari, wanabaki kulinganisha masaa, nani asojua story behind the scin!!! eti kiba ndio basi tena, kasema nani labda(mwehu) ukimckiliza nawe wawa hivyohivyo, kiba nu tishio haswaaaaa ndio maana huwasikii wakimtaja mwingine utadhani tz msanii ni kiba tu(ila hii inaweza ikawa kweli eti,hahahaaa), Kibaaaa wauweee kabisa
 
Sio inaweza kua shoga,habari ndio hiyo hakuna mwanamuziki bora tz yote hii kama Kiba.
Mtu hataki anaacha tu kwani sio lazima.
 
Mbona leo unashangaa sana?
Hii ni mara ya pili nakuona sasa

Mwanzo nilishangaa kwa furaha

Sasa hivi nimeshangaa ulipoishia uz pale mwanzo pameachwa mbali sana na mm nataka nisome moote umo
 
Back
Top Bottom