Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani mimi pale kwa kuvunja miguu pananitesaje?...
Kwingine niko vizuri sana
Heheeeeer,mwenzio nikiamka naamkia huko, POP IT IN

hahaaa!! pa kuvunja miguu nilipaacha mwenzangu maana niliona kabisaaa dalili za kuvunja meno naweza pitiliza, hahaaa kiba bwana
 
jamani watu wamepanik, ila mimi fuuuuull burudani yaani na kuna mtu aliielezea ile video nilimuelewa sana, ila wagoroko sasa full kutokwa povu, si lazima kila mtu afanye unavyotaka au kufikiria wewe, muziki umebadilika sn, mengine waachieni bongo movie
 
Mdakuzi hebu fanya mpango ule uzi wako uunganishwe hapa, kuna nondo za maana mle zinatakiwa ziwe humu nifah mama hebu fikisha ujumbe huu
 
Last edited by a moderator:
Jamani jana kuna mtu kanichekesha humu JF...yaani nacheka kila nikikumbuka alivyosema yuko zake chumbani wamejifungia na mkewe wanajifunza kucheza mwana!...lol sajosojo

Hahahaaaaa nimependa hio couple, wametishaaa
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikubali aisee,mpaka niweze.
Kuna wajinga wanasema eti anamuiga ndomo jamani?

wamuige yeye Mungu??? hebu watupishe huko, kazi kumlinganisha na huyo mtu wao kwa kila anachofanya mwisho watasema anaku*nya km dai, hawajawaona wengine??? sio siri kiba atawapanikisha sana na bado.
kiba ni kiba na anafanya km kiba so wamuache apumueee afanye yake, wasilazimishe chuki ambazo hazipo
 
yaani mpaka nikaweza mbona na panadol nilimeza, khaaah!!

Jana Ms.Lincoln alinichekesha eti alicheza hadi shingo ikawa inauma!
Hii video ya Kiba ni kama audio ya mwana imetoka upya....tamuje sasa?
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikubali aisee,mpaka niweze.
Kuna wajinga wanasema eti anamuiga ndomo jamani?

we endelea tu mm napumua kwanza nipafanye kwa kuwaza co kwa vitendo kwanza, maana duuuh ila napapenda aseee, hebu ngoja jioni nitajaribu
 
Sasa mwafulani kaigwa nini??yeye ni muasisi wa mavazi,video na miondoko hapa chini ya jua au!uwiii watu wameumiaje sasa!!kiba kiboko ya blog zooote!wanamjadili zee la surprise katisha sana mtoto wa mzee Swalehe!!
 

Eti ooh mwana hajaonekana,hajui kufanya video na blah blah kibao.
Hivi ile video ya Mac.Mugga aliyofanyia sauzi enzi zile alimuiga nani?
Huyo ndomo wao si alikua anakunywa gongo tandale enzi hizo?
Wamuache Kiba afanye yake sisi wapenzi wake tunamuelewa basi.
 
Ha ha ha!!kila nikisikia watu wanamtaka mwana nachekaje sasa!!ha ha ha!!kama wanamtaka mwana wakazae 'Mwananyamala' maana mimba ikifikisha miezi tisa shurti mwana aonekane!!
 
Jamani Kiba ana mapozi makarez u know...kwenye ile video kanifurahisha sana...
Kwenye kioo,anavyovaa....anavyoondoka sasa?uwiiiiiii

Ila kusema ukweli kiba katokelezea utamu kweli kene hii video,nimependa dressing yake na the way alivyokuwa akitembea na hasa baada ya kuwekwa akitembea kwa minyato mara baada ya kuvaa duu mi hoii
 
Umeshafika tayari,ila hapa kuna sehemu pia katoa nondoz za kufa mtu u know...
Pia kuna jamaa mmoja nimemsahau jamani kuna sehemu kaelezea vizuri sana,inaonekana ni mtaalam wa sanaa ya film haswa.


ndio huyo nilikuwa namuongelea, yaani aliidadavua mpaka raha yaani, sio cri ule uzi unatakiwa uunganishwe hapa uungane na nondo za humu
 
Jamani mnayaona nlokua nasema pale juu?kama vipi tumpotezee!!aaarghhhh!
 
Jana Ms.Lincoln alinichekesha eti alicheza hadi shingo ikawa inauma!
Hii video ya Kiba ni kama audio ya mwana imetoka upya....tamuje sasa?

hahaaaa!! kiba anajua kutarget na anajua kuwa vitu vyake vinadumu so walaa hakuwa na papara, we kitu bado kiko first na hauchuji huu nakwambia, mpaka mwakani ni mwana tu, mdogo wangu leo kauckiliza mpaka nikamshangaa ni kuurudia tu, nikamuuliza y? akanijibu 'dada huu wimbo kila cku ni mpya kwangu km ndio umetoka leo' nikafurahiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Sasa mwafulani kaigwa nini??yeye ni muasisi wa mavazi,video na miondoko hapa chini ya jua au!uwiii watu wameumiaje sasa!!kiba kiboko ya blog zooote!wanamjadili zee la surprise katisha sana mtoto wa mzee Swalehe!!

Alichofanya King Kiba na kuufanya muziki wake ujadiliwe, sio matendo yake machafu yajadiliwe. Ndio tofauti ya mwanamuziki na mganga njaa.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…