Ogopa sana!Video imewafanya watu vibaya,wanaiponda afu wanarudi kuiangalia tena!!Jana Ms.Lincoln alinichekesha eti alicheza hadi shingo ikawa inauma!
Hii video ya Kiba ni kama audio ya mwana imetoka upya....tamuje sasa?
Unajua mkiwapiga shule kama vile wewe na@msolopagazi huwa wanajifanya hawaelewi lakini wanamkubali Kiba...wao wanamtaka mwana,wamngojee anakuja sijui lini!Alichofanya King Kiba na kuufanya muziki wake ujadiliwe, sio matendo yake machafu yajadiliwe. Ndio tofauti ya mwanamuziki na mganga njaa.
Ova
Eti ooh mwana hajaonekana,hajui kufanya video na blah blah kibao.
Hivi ile video ya Mac.Mugga aliyofanyia sauzi enzi zile alimuiga nani?
Huyo ndomo wao si alikua anakunywa gongo tandale enzi hizo?
Wamuache Kiba afanye yake sisi wapenzi wake tunamuelewa basi.
Ha ha ha!!kila nikisikia watu wanamtaka mwana nachekaje sasa!!ha ha ha!!kama wanamtaka mwana wakazae 'Mwananyamala' maana mimba ikifikisha miezi tisa shurti mwana aonekane!!
Jamani mnayaona nlokua nasema pale juu?kama vipi tumpotezee!!aaarghhhh!
Alichofanya King Kiba na kuufanya muziki wake ujadiliwe, sio matendo yake machafu yajadiliwe. Ndio tofauti ya mwanamuziki na mganga njaa.
Ova
mie now nshakuwa mtaalamu naserebkaje!!! hahaaaa umenikumbusha ngoja nirudi utube kwanza
Kwa nn usi I download kabsa ili ufurahie uhondo mama maana huo no uhondo mtupu
Ila kusema ukweli kiba katokelezea utamu kweli kene hii video,nimependa dressing yake na the way alivyokuwa akitembea na hasa baada ya kuwekwa akitembea kwa minyato mara baada ya kuvaa duu mi hoii
Uwiiiii,usinikumbushe hapo anapoondoka maana nitawakimbia sasa hivi hapa.....
Nimepapenda hadi naumwa
Haters itabidi wafwe for us maana hawatuambii kitu!!ha ha ha
Hahahaaaaa nimependa hio couple, wametishaaa
we endelea tu mm napumua kwanza nipafanye kwa kuwaza co kwa vitendo kwanza, maana duuuh ila napapenda aseee, hebu ngoja jioni nitajaribu
ndio huyo nilikuwa namuongelea, yaani aliidadavua mpaka raha yaani, sio cri ule uzi unatakiwa uunganishwe hapa uungane na nondo za humu
hahaaaa!! kiba anajua kutarget na anajua kuwa vitu vyake vinadumu so walaa hakuwa na papara, we kitu bado kiko first na hauchuji huu nakwambia, mpaka mwakani ni mwana tu, mdogo wangu leo kauckiliza mpaka nikamshangaa ni kuurudia tu, nikamuuliza y? akanijibu 'dada huu wimbo kila cku ni mpya kwangu km ndio umetoka leo' nikafurahiiiiii
uzi umefunguliwa rasmi.mkianza kupost ujinga naufunga kabisa.nini mimi invisible
Unanichanganya sana kwani video kali ya mwaka hujaiona?wacha weeeeeee
Unanichanganya sana kwani video kali ya mwaka hujaiona?