Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hakuna asiyecheza dance la Mwana japo kwa kutikisa kichwa na viwiko vya mikono!!hatare sana.Mwafulani anajua kuchezesha mabega tu kama mbeba rumbesa,huwa ananikera na kushtuka shtuka kama ana degedege if u knw what I mean!!
 
Haha haaaaa,uwiiiii eti kama ana degedege....
Dah,King katisha sana sitaki kukumbuka mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…