Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sio nacheza tyuuu!!Nakimbiza hatariiii!!siku ntafanya battle na@nifah na atoto itakua hatariiii!!

khaaa mtaniwezea wapi sasa ninavyonyumbuka!! wewe na nifah andikeni maumivu tu maana zoezi ntalofanya hamnipati hata kidogo, kina angeniona mbona haina hata haja ya usaili ananichukua fastaa kuwa dancer wake(hahaaa)
 
Last edited by a moderator:
Haha haaa,nyie wote hamniwezi nakuambia...
Bado ile sehemu moja tu nimalize homework ya dance la mwana

uh!! kumbe we bado una homework mie nshasahishiwa meandikiwa vemaaa
 
khaaa mtaniwezea wapi sasa ninavyonyumbuka!! wewe na nifah andikeni maumivu tu maana zoezi ntalofanya hamnipati hata kidogo, kiba angeniona mbona haina hata haja ya usaili ananichukua fastaa kuwa dancer wake(hahaaa)

Aaah wapi wewe,mwenzio nimetoka kufanya zoezi la kuvunjika miguu hapa nilipo najipoza na maji baridi maana hili ni balaa sasa.
Kiba atatuua jamani!
 
Last edited by a moderator:
imefika masaa kadhaa ifikishe viewers laki,tunasubiri ujiue rasmi.
c.c nifah atoto Abou Saydou Ms.Lincoln

tuonane paradisoo, tuonane paradisooo tuonane paradisoooo kweeeenye mji wa baba(nshaanza mazoezi ya kuimba kwenye msiba wa kujitakia mie) ila wamekufa kiroho wengi ujue, basi tu
 
Last edited by a moderator:
tuonane paradisoo, tuonane paradisooo tuonane paradisoooo kweeeenye mji wa baba(nshaanza mazoezi ya kuimba kwenye msiba wa kujitakia mie) ila wamekufa kiroho wengi ujue, basi tu

Dah!Umenikumbusha mbali sana...
Hili pambio (sijui nimepatia!!) hua sipendi kulisikia kabisa.
 
tuonane paradisoo, tuonane paradisooo tuonane paradisoooo kweeeenye mji wa baba(nshaanza mazoezi ya kuimba kwenye msiba wa kujitakia mie) ila wamekufa kiroho wengi ujue, basi tu
Nimecheka sana jamani!!RIP mtt wa jirani,tulikuzoea!
 
nifah atoto kwa besiday gelo nliwaita mkawaone babu zenu!yani wamedhamiria kurumbana na kila hasimu wao!
 
Last edited by a moderator:
acheni roho mbaya nyie watu kiba kiba kiba bwana enu kwani??

mamii wahurumie wenzio, watamtaja nani sasa wakati ndie alojaa mioyoni mwao!! hawawezi kujizuia kumtaja na kumuongelea mkali wao, nani sasa huwa hamuongelei KING???
 
Back
Top Bottom