Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nduki you tube kumuangalia mwana dar es salaam msinionee gere kama vp vaa miwan
khaaaa kweli kiba's fans noma, ndio mmefika huku!!! ngoja nikaanze nilipoishia kwanza, Ms.Lincoln nifah Abou Saydou miss ya
here i am abou, niambie
hahahaaa hapana chezea sie kabisaa, mahaba nipeleke u-tube nikaulizie mwana yuko wapi, haaaahaaaaa
khaaaa kweli kiba's fans noma, ndio mmefika huku!!! ngoja nikaanze nilipoishia kwanza, Ms.Lincoln nifah Abou Saydou miss ya
Sio nacheza tyuuu!!Nakimbiza hatariiii!!siku ntafanya battle na@nifah na atoto itakua hatariiii!!
Haha haaa,nyie wote hamniwezi nakuambia...
Bado ile sehemu moja tu nimalize homework ya dance la mwana
khaaa mtaniwezea wapi sasa ninavyonyumbuka!! wewe na nifah andikeni maumivu tu maana zoezi ntalofanya hamnipati hata kidogo, kiba angeniona mbona haina hata haja ya usaili ananichukua fastaa kuwa dancer wake(hahaaa)
Ukicheza dance la Mwana unapata previlege ya kuogeshwa,sio kuoga!!Sitaki maswali sijajiandaa!!
yena wa kukuogesha ndio anatathmini wapi umekosea wapi umepatia mpaka kieleweke
Heheheeee,tena anachezea bafuni nasikia maana uvumilivu umemshinda
Uwiiiiii jamani Ms.Lincoln tengua hilo sharti nina hamuje ya kujua sasa?
imefika masaa kadhaa ifikishe viewers laki,tunasubiri ujiue rasmi.
c.c nifah atoto Abou Saydou Ms.Lincoln
tuonane paradisoo, tuonane paradisooo tuonane paradisoooo kweeeenye mji wa baba(nshaanza mazoezi ya kuimba kwenye msiba wa kujitakia mie) ila wamekufa kiroho wengi ujue, basi tu
Nimecheka sana jamani!!RIP mtt wa jirani,tulikuzoea!tuonane paradisoo, tuonane paradisooo tuonane paradisoooo kweeeenye mji wa baba(nshaanza mazoezi ya kuimba kwenye msiba wa kujitakia mie) ila wamekufa kiroho wengi ujue, basi tu
Haha haaaa,video ya mwana ndio habari ya mujini
acheni roho mbaya nyie watu kiba kiba kiba bwana enu kwani??