Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mimi hadi nikiingia tu nakuta wameshaniwekea mwana tayari....
Heheheeer

yaani mwana ndio habari pekee, wasojielewa wanatapatapa hadi huruma na kutafuta kila aina ya sababu
 
Aaah wapi wewe,mwenzio nimetoka kufanya zoezi la kuvunjika miguu hapa nilipo najipoza na maji baridi maana hili ni balaa sasa.
Kiba atatuua jamani!

mie cku ya kwanza video kutoka kidogo le project livurugike, maana najificha ndani ya shuka naingia utube kuchungulia mwana, kesho yake zoezi la kuserebuka likaanza, yaani nilipoanza kulicheza ungeniona ungecheka km kichaaa
 
Haha haaaa,ujue nimecheka sana na hilo le project?
Natamanije ningekuona sasa?
 
Dah!Umenikumbusha mbali sana...
Hili pambio (sijui nimepatia!!) hua sipendi kulisikia kabisa.

yaani mie nikilickia najiona km nipo msibani tayari, sasa hapa si mcba wa mwafulani unanukiaaaa, naanza kujikumbusha
 
alafu wewe Mdakuzi ndio tabia gani ya kupita kimyakimya!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom