Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Aisee huyu jamaa anapiga nyumbani na ugenini...
 
Attachments

  • 1419193917806.jpg
    1419193917806.jpg
    77.7 KB · Views: 86
ImageUploadedByJamiiForums1419194261.163521.jpg
Hii inafundisha kwamba unaweza kufanya muziki mzuri na watu wakaupenda bila kusaka scandal za kila kukicha.
Pia, hii inafundisha kwamba unaweza usiimbe mapenzi, wala video yako isijae matukio ya mapenzi na bado watu wakaipenda.
Ukiamua kuishi kwa ajili ya muziki, basi fanya muziki kwa kufuata misingi yake na kuboresha muziki wako ili mashabiki waupende bila sababu ya ziada inayohusu maisha yako biafasi.
King Kiba kwa hili umekuwa mwalimu mzuri kwa vijana waliowasaidia kuwatoa kimuziki. Hongera sana. S/o
Ova
 
Teh teh.....watu walitaka kumuona MWANA kama Mac.Mugga ...
Ushamba mzigo.

Mwenzangu wamkabidhi script Chausiku akawatengenezee movie!!
Kuna wasanii majuu wanafanyaga shooting wakiwa wanatembea mwanzo mwisho seuze lile dance la mwana....siwaelewi mie!!

Kisa dai kapata tuzo mfululizo basi ndo wanataka kutuaminisha kuwa kila kinachofanywa na wengine kimekosewa.
 
mahaba ya kupitiliza ni shida sana, watu wanampenda kiba kupitiliza hata kasoro moja hawaoni, kanuni ni kwamba ukimpenda mke pia ujue na kumkosoa!

lakini hapa ukimkosoa kiba hata kwa uzuri unaonekana timu daimondo!

Mkuu wewe kosoa tu utaeleweka,.
Tatizo kuna watu wengine kazi yao ni kuponda tu, kila penye Kiba yeye ni kuponda tu khaaaa!!

Kuna mwingine alisema hiyo video ya Mwana ikifikisha viewers laki moja anajiua.....I wonder if bakuli la rambirambi limeshapita! Mwengine anakwambia Kiba apumzike kwa amani, anyways si vibaya akamuandalia na sanda kabisa na jeneza .

Kama hiyo haitoshi wapo ambao bila kutukana siku hiyo hawatakula chakula wakashiba. Yaani panapo zungumzia Kiba lazima waache tusi, huku anatukana kisha anaenda na kwenye page ya Kiba anatukana.

Watu kama hawa ndo wanaosababisha hata nyie mnaokosoa kwa nia njema muonekane ndo walewale.but yo welcome.
 
View attachment 212894
Hii inafundisha kwamba unaweza kufanya muziki mzuri na watu wakaupenda bila kusaka scandal za kila kukicha.
Pia, hii inafundisha kwamba unaweza usiimbe mapenzi, wala video yako isijae matukio ya mapenzi na bado watu wakaipenda.
Ukiamua kuishi kwa ajili ya muziki, basi fanya muziki kwa kufuata misingi yake na kuboresha muziki wako ili mashabiki waupende bila sababu ya ziada inayohusu maisha yako biafasi.
King Kiba kwa hili umekuwa mwalimu mzuri kwa vijana waliowasaidia kuwatoa kimuziki. Hongera sana. S/o
Ova

kuna watu humu mbwa sanaa
 
yule msaga sumu vp sharesiti ini pisi??? mafiiiii ya bata, cku nyingine muwe mnashirikisha ubongo kabla hamjaropoka, kizuri chajiuza
 
hivi unajua watu wanadhani na sisi uwezo wetu wa kufikiri mdogo kama wao, mtu anaponda na kutukana alafafu anajifanya eti anakosoa kwa nia njema khaaa!!! mnatapatapa tuuu na bado, kubalini tu kuwa Kiba kafanya kitu cha maana kinachowakaba koo,

mengine sio hata lazima uongee nyamaza tu maana unaonekana mwendawazimu, bahati nzuri ustaarabu walaa haununuliwi so mtakufa masikini wa hilo, na viherehere na ulimbukeni ulopitiliza.

mie yaani am so glad being fan wa mstaarabu na mashabiki wastaarabu,wanaojitambua na kuthamini vizuri, King KIBA forever.
 
Kwani Kiti chake kimechukuliwa na Nani mpaka Akirudie kwa Kasi? ??.........
 
halafu jamaa inaonekana anapenda sana kufutafuta nimeona hata kwny ile video yake uchwara kafuta kioo cha dressing table
 
mpaka kikawa na vumbi it means hakuna aliyeweza kukikalia kwa kipindi chote hicho, chezea king wewe
 
Tunataka Tuzo kelele hata Kuku Wanapiga Bandani...

Leteni Tuzo Nyumbani ndo Heshima...Kelele achieni Kuku wazipigee
 
View attachment 212894
Hii inafundisha kwamba unaweza kufanya muziki mzuri na watu wakaupenda bila kusaka scandal za kila kukicha.
Pia, hii inafundisha kwamba unaweza usiimbe mapenzi, wala video yako isijae matukio ya mapenzi na bado watu wakaipenda.
Ukiamua kuishi kwa ajili ya muziki, basi fanya muziki kwa kufuata misingi yake na kuboresha muziki wako ili mashabiki waupende bila sababu ya ziada inayohusu maisha yako biafasi.
King Kiba kwa hili umekuwa mwalimu mzuri kwa vijana waliowasaidia kuwatoa kimuziki. Hongera sana. S/o
Ova

Matola,u r missed pia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom