Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kiba ni homa ya jiji bwana hapana sogelea
mjini hapatoshi, moja haikai mbili haikai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiba ni homa ya jiji bwana hapana sogelea
aaaaaaaaaaaaaaaaaaamiiinduh nilitegemea kiba angekuja na video ya kufa mtu kumbe ndo vile? Apumzike kwa amani. Na wote wenye pumzi tuseme amen
Mbona unakisogeza kifo cha@Nkyah karibu?
Hiyo ni alert,vipi zikifika itakuaje?
Mpenzi kweli unataka nife??

Teh teh.....watu walitaka kumuona MWANA kama Mac.Mugga ...
Ushamba mzigo.
mahaba ya kupitiliza ni shida sana, watu wanampenda kiba kupitiliza hata kasoro moja hawaoni, kanuni ni kwamba ukimpenda mke pia ujue na kumkosoa!
lakini hapa ukimkosoa kiba hata kwa uzuri unaonekana timu daimondo!
View attachment 212894
Hii inafundisha kwamba unaweza kufanya muziki mzuri na watu wakaupenda bila kusaka scandal za kila kukicha.
Pia, hii inafundisha kwamba unaweza usiimbe mapenzi, wala video yako isijae matukio ya mapenzi na bado watu wakaipenda.
Ukiamua kuishi kwa ajili ya muziki, basi fanya muziki kwa kufuata misingi yake na kuboresha muziki wako ili mashabiki waupende bila sababu ya ziada inayohusu maisha yako biafasi.
King Kiba kwa hili umekuwa mwalimu mzuri kwa vijana waliowasaidia kuwatoa kimuziki. Hongera sana. S/o
Ova

kuna watu humu mbwa sanaa
Kwani Kiti chake kimechukuliwa na Nani mpaka Akirudie kwa Kasi? ??.........
mpaka kikawa na vumbi it means hakuna aliyeweza kukikalia kwa kipindi chote hicho, chezea king wewe