Nina hamu nako kweli hapa, ila nitakuja tu mazima. Ila dah mnanikosha sana.
Ova
Ngum na nani na kisa?hahaaa naona unatafuta ugomvi wa ngumi sasa, mie ntakaa nikiangalia mtanange tu
Ukitaka ujue kwamba mziki ni universal chekini jisongi hili la fally ipupa- linaitwa sweet life( la vie est belle)aiseee niliusikia kahama stand nikashawishika kuutafuta na hatimaye kuudownload aisee ally kiba kwa experience ya nyuma amejitahidi sana lakini atleast angewapa fans wake wengi kile walichokua wanakihitaji kwenye hiyo nyimbo ya fally jamaa anakula bata kuanzia jumatatu mpaka jumapili aiseeee ni tatizo
Naona kule kwa wenzetu upande wa pili wamelala ziiiiiiiiiii kimyaaaa uzi wao umedoda ila huku kwa kiba usiku km mchana vileeee
Naona kule kwa wenzetu upande wa pili wamelala ziiiiiiiiiii kimyaaaa uzi wao umedoda ila huku kwa kiba usiku km mchana vileeee
Ngum na nani na kisa?
Mi hata cpiti uko
Watajadili nini?kwanza wako watatu tu sijui....hapa ndio mambo yote bwana
video itafikisha views laki moja kabla ya jogoo kuwika.
kama kila mtu angetoa buku kununua hiyo video ,kiba angepata milioni mia .
Kwahyo kiba kaimba umo
video itafikisha views laki moja kabla ya jogoo kuwika.
kama kila mtu angetoa buku kununua hiyo video ,kiba angepata milioni mia .
yaani hii familia balaa tupu, mnafurahishaaaa hadi mnakera bwana, aaagggrrrh!!
Balaa tupu,jana nilikua kama nina malaria uzi ulivyofungwa....
Kama sio ile video ya Kiba kuwepo basi ningetundikiwa dripu kabisaaaa
Love you guys ππ
Nina kama Massa mawili sasa sijaenda huko.
Ila siwezi kulala bila kuchungulia YouTube aisee...
Pop it in
chezea kiba wewe!!