Ali Kiba Fans' Special Thread...

Morning people,nasikitika kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa I'd ya NkyaH!Inasikitisha sana,sikujua kama kijiba cha roho kinaua!RIP
 
Last edited by a moderator:
Morning people,nasikitika kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa I'd ya NkyaH!Inasikitisha sana,sikujua kama kijiba cha roho kinaua!RIP

Dimondi ndomo alifikisha hizo ndani ya masaa 10 tu... Vipi zitafika laki 5 kweli??
 
Last edited by a moderator:

Huyu jamaa atachukua BET asee.. Anatisha sana ahahaha lazima awe shortlisted kwenye matuzo kibaoo
 
Hii ilikuwa ni elimu nzuri sana ya bure, nikategemea wabishi wangetaka kujifunza na kuuliza maswali kwa huyu jamaa, lakini ajabu walikaa kimya kwa sababu ya ubishi tu.
Hebu badilika iruhusu akili yako ikubali kwamba JF ni sehemu ya kujifunza coz watu wenye Uwezo mbalimbali wa kitaalamu wa mambo tofauti. Binafsi imenisaidia kujifunza mambo mengi.
Ova
 
Dimondi ndomo alifikisha hizo ndani ya masaa 10 tu... Vipi zitafika laki 5 kweli??

Wakati huo alikuwa keshatuonyesha picha alizopiga na zali airport,analalamika kaachwa na wema,tukaambiwa pia hata gari alilopewa zawadi lilitoka kwa jamaa mwingine.tehh tehh tehh.
Chezea kick wewe.

Acha watu waonyeshe uwezo pure.
 
Unasifu video ya alikiba imepata views zaidi ya laki kwa cku tatu akati video ya diamond ya ntampata wapi ilipata views zaidi ya laki ndani ya masaa 22......tatizo niushabiki wa mwanamziki badala kua na ushabiki wa mziki.....mwenye akili kanielewa
 
Mpenzi kweli unataka nife??

Sikiliza wewe mjinga,mimi naitwa nifah na sio mpenzi...sawa?
Huu ni utoto unaoufanya sasa maana nimeshakuona mara kibao tu sasa nasema koma kabisa kuniita hivyo.
Hivi unadhani unamuumiza au kumkomoa nani hapa kwa mfano?
Poleee.....mission failed
 
Last edited by a moderator:
Unasifu video ya alikiba imepata views zaidi ya laki kwa cku tatu akati video ya diamond ya ntampata wapi ilipata views zaidi ya laki ndani ya masaa 22......tatizo niushabiki wa mwanamziki badala kua na ushabiki wa mziki.....mwenye akili kanielewa

Kama huna mahaba na diamond kwanini umeshangaa jamaa kutaja views za kiba,na badala yake ukalinganisha na alizopata diamond!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…