Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Wakati huo alikuwa keshatuonyesha picha alizopiga na zali airport,analalamika kaachwa na wema,tukaambiwa pia hata gari alilopewa zawadi lilitoka kwa jamaa mwingine.tehh tehh tehh.
Chezea kick wewe.
Acha watu waonyeshe uwezo pure.
halafu jamaa inaonekana anapenda sana kufutafuta nimeona hata kwny ile video yake uchwara kafuta kioo cha dressing table
Eti nini?Kile kioo ni cha dressing table?
La haula....hujui kitu bora unyamaze tu.
Ucngemjibu uyo wa sitimbi
Ha ha ha!!pop it in!
Naona umeishiwa hoja unataka kuchafuana sasa!!RIPHahaha Wema ndio anampa kick mpaka Africa nzima inamjua kumbe?? Hahahaha Kibaba yeye si analiwaga ndogo pale Ilala au unataka na hilo tulitangaze..
Kwi!kwi! Kwi!!aibuuu!booooh!booooh!!Sikiliza wewe mjinga,mimi naitwa nifah na sio mpenzi...sawa?
Huu ni utoto unaoufanya sasa maana nimeshakuona mara kibao tu sasa nasema koma kabisa kuniita hivyo.
Hivi unadhani unamuumiza au kumkomoa nani hapa kwa mfano?
Poleee.....mission failed
Ali K for real....hutaki KUFWA for him u know....
Hahaha Wema ndio anampa kick mpaka Africa nzima inamjua kumbe?? Hahahaha Kibaba yeye si analiwaga ndogo pale Ilala au unataka na hilo tulitangaze..
Naona umeishiwa hoja unataka kuchafuana sasa!!RIP
Hawezi kufanya muzinki bila raia kujua anatoka na nani!!!!!tehh teeh tehh.
Angalia sasa kaenda kuchukua ajuza,mjane.
Hasira zako zisituharibie uzi wetu,pita kama kimondo.
Naona umeishiwa hoja unataka kuchafuana sasa!!RIP
Hahaha Wema ndio anampa kick mpaka Africa nzima inamjua kumbe?? Hahahaha Kibaba yeye si analiwaga ndogo pale Ilala au unataka na hilo tulitangaze..
Naona hajui hata dressing table ikoje huyu....nimecheka sana alafu alivyo comment kwa kujiamini sasa?
Ndio atakuwa shortlisted!happy?nw Kufwa for us or pop it in!!Hahaha sasa hoja si hamjibu mnakuja na vihoja.. Nimewauliza tu mna uhakika atakuwa shortlisted kwenye tuzo yoyote ya kimataifa??
Kwahiyo na Nigeria anakopata colabo kila siku huwa wanafatilia anatoka na nani eeehh.. Duuuuhh basi na Wema angeshakuwa na filamu kibao Nollywood.. Umeshasahau ndugu yenu alifuliaga mpaka akatembea na limama pia.. Au Madam Rita ni binti??
Kwao anatumia Tenga uyo