Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wakati huo alikuwa keshatuonyesha picha alizopiga na zali airport,analalamika kaachwa na wema,tukaambiwa pia hata gari alilopewa zawadi lilitoka kwa jamaa mwingine.tehh tehh tehh.
Chezea kick wewe.

Acha watu waonyeshe uwezo pure.

Hahaha Wema ndio anampa kick mpaka Africa nzima inamjua kumbe?? Hahahaha Kibaba yeye si analiwaga ndogo pale Ilala au unataka na hilo tulitangaze..
 
Hahaha Wema ndio anampa kick mpaka Africa nzima inamjua kumbe?? Hahahaha Kibaba yeye si analiwaga ndogo pale Ilala au unataka na hilo tulitangaze..
Naona umeishiwa hoja unataka kuchafuana sasa!!RIP
 
Sikiliza wewe mjinga,mimi naitwa nifah na sio mpenzi...sawa?
Huu ni utoto unaoufanya sasa maana nimeshakuona mara kibao tu sasa nasema koma kabisa kuniita hivyo.
Hivi unadhani unamuumiza au kumkomoa nani hapa kwa mfano?
Poleee.....mission failed
Kwi!kwi! Kwi!!aibuuu!booooh!booooh!!
 
Last edited by a moderator:
Wa kiba mnaongea snaaa tuonesheni tuzo za kiba kama zinafkia apa tutanyamaza..
 
Attachments

  • 1419239454863.jpg
    1419239454863.jpg
    45.9 KB · Views: 42
Hahaha Wema ndio anampa kick mpaka Africa nzima inamjua kumbe?? Hahahaha Kibaba yeye si analiwaga ndogo pale Ilala au unataka na hilo tulitangaze..

Hawezi kufanya muzinki bila raia kujua anatoka na nani!!!!!tehh teeh tehh.

Angalia sasa kaenda kuchukua ajuza,mjane.

Hasira zako zisituharibie uzi wetu,pita kama kimondo.
 
Hawezi kufanya muzinki bila raia kujua anatoka na nani!!!!!tehh teeh tehh.

Angalia sasa kaenda kuchukua ajuza,mjane.

Hasira zako zisituharibie uzi wetu,pita kama kimondo.

Kwahiyo na Nigeria anakopata colabo kila siku huwa wanafatilia anatoka na nani eeehh.. Duuuuhh basi na Wema angeshakuwa na filamu kibao Nollywood.. Umeshasahau ndugu yenu alifuliaga mpaka akatembea na limama pia.. Au Madam Rita ni binti??
 
Hahaha sasa hoja si hamjibu mnakuja na vihoja.. Nimewauliza tu mna uhakika atakuwa shortlisted kwenye tuzo yoyote ya kimataifa??
Ndio atakuwa shortlisted!happy?nw Kufwa for us or pop it in!!
 
Kwahiyo na Nigeria anakopata colabo kila siku huwa wanafatilia anatoka na nani eeehh.. Duuuuhh basi na Wema angeshakuwa na filamu kibao Nollywood.. Umeshasahau ndugu yenu alifuliaga mpaka akatembea na limama pia.. Au Madam Rita ni binti??

Mh,mie sjui kama alitembea nae.maana sio madam wala kiba mwenyewe aliyethubutu kutangaza mitandaoni na kuweka mapicha picha yao,ni utoto ati.

Nnachotaka kukuelewesha ni kwamba yaan lazima tujue kwanza anatoka na nani au kamfanyia nini aliyenae kabla hajatoa wimbo.kick za madem.
 
Back
Top Bottom