Ngoja nikimbie aisee...nkaongeze siku za kuishi ha ha ha!!Hahaaaaaaa,mbuta nanga katisha sana alivyoicheza Mwana....aisee yuko vizuri bwana!
Ha ha ha!!akishirikishwa huwa nauoga fulani hatoi sauti!!anamung'unya maneno tuu!!hadi huruma!!
hellow Abou Saydou, how r u?
Hahaaaaaaa,mbuta nanga katisha sana alivyoicheza Mwana....aisee yuko vizuri bwana!
Uwiii!!Ivi uliwanyima nini wenzio!!Haa
Namm nataka nione
Katika pita pita zangu YouTube nimekutana na kipande cha wimbo wa King Kiba (bado haujatoka) unaitwa hela....Ni mzuri kautafuteni na nyie.
Nenda YouTube....anakuambia Kiba oyeeeee!!!
Hahaaaaa
kawimbo katamu jamani, mbona wanasema eti umevuja?
Am fiiine how abt yah
kawimbo katamu jamani, mbona wanasema eti umevuja?
veryy fine, naburudika tu na king wetu
Nenda YouTube....anakuambia Kiba oyeeeee!!!
Hahaaaaa
Mpka unauona YouTube umeshavuja na wavujishaji wakuu ni kapasta4real na Abbydaddy
Itabidi King aachie mwingine tofauti na huo sasa.
King wetu ana stoo ya nyimbo bwana,huo ukivuja sio kitu.
Ngoja nikimbie aisee...nkaongeze siku za kuishi ha ha ha!!
Ukuje turubudike wote🚶🚶🚶🚶🚶
Hatari sanaaa!Kiba oyeee!mbuta anakata mauno huyo