Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Katika pita pita zangu YouTube nimekutana na kipande cha wimbo wa King Kiba (bado haujatoka) unaitwa hela....Ni mzuri kautafuteni na nyie.

kawimbo katamu jamani, mbona wanasema eti umevuja?
 
Mpka unauona YouTube umeshavuja na wavujishaji wakuu ni kapasta4real na Abbydaddy

Itabidi King aachie mwingine tofauti na huo sasa.
King wetu ana stoo ya nyimbo bwana,huo ukivuja sio kitu.

khaaaa!! mambo gani tena hayo? nayeye kwanini anawaachia watu wasojielewa kuwa na hizo nyimbo ambazo hazijawa relized?
 
Back
Top Bottom