Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hapa hakuna jipya....imegeuka chichat mods fungeni tu huu uzi umepoteza maana. imekuwa sehemu ya kutakiana habari za asubuhi mara merry Xmas jamaa yenu hana jipya ni disappointment.

Inakuuma sana??Utakufa kwa kijiba cha roho Mwanamme!!Unayemtafuta kamfate ghetto mmalizane!!au nayeye ni mchaga?
 
we nani alikuambia x-mass inasherehekewa gheto??? hii ni sikukuu ya kifamilia zaidi, so jumuika na wanafamilia

Familia angu ilikufa kwenye vita vya majimaji ww pekee umebakia

Labda kiba angekua na show Tz ila jamaa yupo kwa Malkia Elizabeth
 
sasa kama hakuna cha maana kinachokufanya ujipitishe huku nn??? vihede mswede vingine bwana, unayempitishia hapa hayupo so pita tu kamuandalie mumeo cha mchana
 
Nimekuja 'kuchat' na mimi...au vibaya?

ehee lete story vipi Christmas pilau mtaweka kachumbari ya matango au mtakatia nyanya na kitunguu tu?
 
Kwani wewe unaona kuna cha maana hapa?

Kama hakuna cha maana wewe kilichokuleta hapa ni nini?
Basi nawe hauna maana ndio maana umekuja kwenye mambo ambayo hayana umaana.
 
Nimekuja kuchat nshakwambia...tumfunike dangote maana anajifanya kila kitu yeye.
 
Hapa hakuna jipya....imegeuka chichat mods fungeni tu huu uzi umepoteza maana. imekuwa sehemu ya kutakiana habari za asubuhi mara merry Xmas jamaa yenu hana jipya ni disappointment.

utabaki hatihati.....!!!!
utaishia hvyo hvyooooo....!!!
 
Nimekuja kuchat nshakwambia...tumfunike dangote maana anajifanya kila kitu yeye.

Uchat na nani?si umesema mods wafunge uzi wewe?
Hata hivyo sitaki malumbano na wewe,kawatafute waswahili wenzio wa tandale huko.
 
sio kosa lake mama, you can take a person out of tandale bt u can never take tandale out of a person
 
Dah poa ngojea nikawatafute waswahili wenzangu kwa kweli nyie wazungu siwawezi.
 
Alitaka tumtaje mvua nguo stejini ?
C tunamtaja mvaa suti bana 🚶🚶🚶🚶
 
sio kosa lake mama, you can take a person out of tandale bt u can never take tandale out of a person

Nipo 'tandale' mwanzo mwisho, na hakuna atakae nitoa huku...mimi mswahili mswahili sana ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…