Ali Kiba Fans' Special Thread...

jamani umenikumbusha ladatho jamani cjui ile transformer bado haijatengemaa!!! au ndio kwahasira kaamua kuuza na cmu!!??

Haha haaaaa,mwenzangu na aje tu atuambie....akikaa kimya manake kauza kweli.
 
Last edited by a moderator:
Unajua mkiwapiga shule kama vile wewe na@msolopagazi huwa wanajifanya hawaelewi lakini wanamkubali Kiba...wao wanamtaka mwana,wamngojee anakuja sijui lini!

Na kwenye visimu vyao Vitecno ringtone yao ni Mwanadaresalaam halafu hapa wanajifanya kujishongondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…